Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Wewe hujui chochote, Kafulila haendi huko mpaka ameruhusiwa na Waziri wake, Sasa Waziri nae hajui?Wivu kwa hayo mapicha ya kitalii?
Huo ni utapeli ni sawa na raisi aseme anaenda India kukukutana na wawekezaji halafu anaishia ubalozini kupiga picha ba balozi na sanamu la Nyerere
Ubalozi wa nchi ni sawa tu na uko ardhi ya Tanzania
Kafulila kwenda India alitakiwa kukutana na wawekezaji sio balozi au sanamu la Nyerere
We want value for money kwa safari za viongozi sio picha hizo zs kuweka kwenye album za kitalii
Wizi mtupu wa perdiem za serikali
Hakuna cha maaana alichienda kufanya India kama kaishia tu kuuza sura ya kupiga picha na balozi wa Tanzania India na kupiga picha na Sanamu la Mwalimu Nyerere
Watanzania hatuhitaji picha za album za kitalii kuwa katalii sanamu la Mwalimu Nyerere na katalii ubalozini kupiga picha na balozi
Hivi Kafulila anatuanaje Watanzania kuwa ni wajinga fulani au? Hatuhitaji picha za utalii tunahitaji wawekezaji toka India sio hayo mapicha ya kitalii
Shame on him