Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Kwakweli huyu kijana anabidii sana na hii PPP itafika mbali sanaMheshimiwa Kafulila anajitahidi sana na kufanya vyema sana katika kufanya juhudi za kutaka miradi mingi ifanywe kwa ubia kati ya secta ya umma na binafsi ,ili kuipunguzia gharama serikali ya kugharamia kila kitu na kwa fedha nyingi za walipa kodi. Kikubwa aendelee kupewa ushirikiano na kuungwa mkono ili hatimaye kuleta matokeo chanya.
Ni kweli kabisa.kikubwa ni kuendelea kupewa ushirikianoKwakweli huyu kijana anabidii sana na hii PPP itafika mbali sana
Wamenamgwa akina nani?Baada kuwananga wenye hela
Sasa mshaanza kutafuta mikopo ya kausha damu
Ni kweli kabisa.kikubwa ni kuendelea kupewa ushirikiano
Ni kweli kabisa.kikubwa ni kuendelea kupewa ushirikiano
Wanalazimisha kupata pesaBaada kuwananga wenye hela
Sasa mshaanza kutafuta mikopo ya kausha damu
Huyu tapeli kaenda kupiga picha India kwa kodi za wanyonge
Ndege angepataje?Kwani Tanzania hakuna Camera halafu mbona sikukuona pale Kwenye maandamo?
Ndege angepataje?
Wewe kwenye comment hii umelipwa kiasi gani?Vijana wa kulipwa buku saba wakiwa kazini kusifia wanaume. Poor Tanzanians.
Public and Private Partnership - PPP ni sera ambayo tunayo Kwa miaka mingi sasa, japo awamu hii ni kama Kiongozi wake amejitahidi kuitangaza sanaKama ni kweli PPP inaweza kuaply hapa Tanzania basi utakuwa mwanzo mzuri kwetu.
Kafulila anabidii sana katika kuifanya PPP kuwa na nguvu na ushawishi miongoni mwetu.
Kafulila airudi nyuma mpaka tuone mwisho wake
Yes naona awamu hii ndio imeanza kujulikanaPublic and Private Partnership - PPP ni sera ambayo tunayo Kwa miaka mingi sasa, japo awamu hii ni kama Kiongozi wake amejitahidi kuitangaza sana
Tunayo mifano ya miradi kadhaa iliyofanyika Kwa njia hiyo ya PPP ikiwemo miradi ya Daraja la Mwalimu Nyerere hapo Kigamboni.
Mradi wa bomba la gasi la Songas n.k
Ni kweli Mkuu, tuwaombee heri Viongozi wetuYes naona awamu hii ndio imeanza kujulikana