Hebu mtuweke list ya hizo miradi ukisaidiana na mwenzako Tlaatlaah wengine sahv tuko bize tunawachangia kodiMheshimiwa Kafulila anajitahidi sana na kufanya vyema sana katika kufanya juhudi za kutaka miradi mingi ifanywe kwa ubia kati ya secta ya umma na binafsi ,ili kuipunguzia gharama serikali ya kugharamia kila kitu na kwa fedha nyingi za walipa kodi. Kikubwa aendelee kupewa ushirikiano na kuungwa mkono ili hatimaye kuleta matokeo chanya.
ARV jeTunahitaji kiwanda cha bajaji, kijengwe Tanzania.TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!
Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...www.jamiiforums.com
Sogea hapa niko hekima Garden mikocheni napiga vitu vyanguBandari, Songas, Daraja la mwalimu Nyerere n.k🐒
Ni kweli Mkuu, tuwaombee heri Viongozi wetu
Kwenye umeme vipi wakati mmesema tuna surplus ya umemeTumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"
.......wahindi watabubujikwa na machozi furaha haijawahi kutokea......Ni kweli kabisa.kikubwa ni kuendelea kupewa ushirikiano
Nadhani ni umeme wa tharulaKwenye umeme vipi wakati mmesema tuna surplus ya umeme
Ila aache kurukaruka kwenye mitiKafulila anapambana sana apewe maua yake
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)
"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"
#SAMIAMITANOTENA
Kwakweli huyu kijana anabidii sana na hii PPP itafika mbali sana
Mheshimiwa Kafulila anajitahidi sana na kufanya vyema sana katika kufanya juhudi za kutaka miradi mingi ifanywe kwa ubia kati ya secta ya umma na binafsi ,ili kuipunguzia gharama serikali ya kugharamia kila kitu na kwa fedha nyingi za walipa kodi. Kikubwa aendelee kupewa ushirikiano na kuungwa mkono ili hatimaye kuleta matokeo chanya.
Badala ya kukutana na wahindi India wawekezaji anaenda India kukutana na mtanzania mwezie balozi wa Tanzania na kupiga picha na Sanamu la Nyerere
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)
"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"
#SAMIAMITANOTENA
Anajitahidi kea bidii lakini tunataka matokeo yaendane na bidii
Huyu Bwana ana progress nzuri akaze buti
Mkurugenzi mkuu wa PPP-Cetre Tanzania Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa tweeter (X)
"Nilipomtembelea Mhe. Annisa Kapufi Mbega , Balozi wetu New Delh India. Tumezungumza kwa kina kuhusu namna ya kufanya zaidi kuvuta uwekezaji kwa UBIA( PPP) hasa kwenye Usafiri wa Reli,Barabara , Umeme na miradi mingine ktk list ya miradi(PPP PIPELINE) yenye jumla ya miradi74"
#SAMIAMITANOTENA
Wivu tu bro huuBadala ya kukutana na wahindi India wawekezaji anaenda India kukutana na mtanzania mwezie balozi wa Tanzania
Wastage of money wangeongea kwenye simu tu hakukuwa na haja ya yeye Kafulila kwenda India
Wivu tu bro huu