INDIA: Kafulila afanya kikao na Balozi Annisa Kapufi Mbega

Wewe hujui chochote, Kafulila haendi huko mpaka ameruhusiwa na Waziri wake, Sasa Waziri nae hajui?
 
Wewe hujui chochote, Kafulila haendi huko mpaka ameruhusiwa na Waziri wake, Sasa Waziri nae hajui?
Watanzania tunataka matokeo ya ziara sio picha za album alizopiga na balozi wa Tanzania India au alizopiga na sanamu la Mwalimu Nyerere

Waziri anakiwa awajibike atueleze value for money ya ziara ya Kafulila India ni ipi?
Waziri atujibu sio Kafulila

Waziri atuambie Watanzania

Hii kitu ni very serious waziri aje na majibu

Kama Waziri hataki kujibu Raisi amshinikize ajibu akikataa waziri na Kafulila wote wapigwe chini

Tunataka kujua value for our money kwa ziara ya Kafulila India
 
Punguza wivu bwana mkubwa
 
TUMBILI 🤣🤣😀
 
Hiyo ilihitaji aende India? Katika dunia ya sasa ya teknolojia za mawasiliano ya video conferencing? PPP ni udalali tu, pia ilitakiwa kuwa idara tu pale Tanzania Investment Centre, ni vile tu tulimtoa upinzani, na sasa inabidi tumlee kwa kumtengenezea viofisi feki mpaka aishe kabisa ki siasa.

He is more of a liability
 
Hongera PPP
 
Samia mitan
Samia mitano tena hongera Kafulila
 
Kazi iendelee mbele
 
Mkuu uko vizuri sana nakukubali
 
Hivi KFulila ameenda chooni?
 
kumbe shobo zote zilikuwa ni malipo haya😂😂aisee tanzania bana
 
Kafulila anajua sana huyu muha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…