India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.

Kizimkazi.png
 
juhudi zote hizi lakini mama abdul muda ukiisha na kizimkazi itarejea kama zamani tangu lini mswahili akapenda maendeleo
 
Back
Top Bottom