M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Oct 6, 2023 #1 India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
Mtemi mpambalioto JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,436 Reaction score 7,955 Oct 6, 2023 #2 hiko ndio chuo hadhi ya juu! mbona mabweni
M Mr. Tutor JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 853 Reaction score 2,595 Oct 6, 2023 #3 Tatizo wanafunzi wapo?
T TikTok2020 JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 1,816 Reaction score 3,150 Oct 6, 2023 #4 juhudi zote hizi lakini mama abdul muda ukiisha na kizimkazi itarejea kama zamani tangu lini mswahili akapenda maendeleo
juhudi zote hizi lakini mama abdul muda ukiisha na kizimkazi itarejea kama zamani tangu lini mswahili akapenda maendeleo