dah, yaani Kila lawama anatupiwa Marekani.why?
[emoji23][emoji23]h[emoji16][emoji742][emoji742][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mhindi kabla ya kumimina risasi anaanza kuimba kwanza akate uno halafu ndo aendelee na vita
Duuuuh[emoji23][emoji23]Watakua wameshiba biryani hao[emoji4][emoji4]
Bruce Lee kamchapa amita bachaniHapo ni tai chi na kuchi kuchi otae
Bruce Lee kamchapa amita bachani
Anaweza akawa nazo au katengeneza version yake maana ananunuaga silaha nyingi toka kwa urusi halafu anazi modify anakua hatumii majina ya silaha ya kirusi.......hii nimeona sana kwenye ndege zile mig na SukhoiHivi China anamiliki s-400 ?