India: Tembo amuua mwanamke, ameenda msibani na kuikanyaga maiti ya mwanamke huyo kabla ya kuzikwa

India: Tembo amuua mwanamke, ameenda msibani na kuikanyaga maiti ya mwanamke huyo kabla ya kuzikwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Tukio la kustaajabisha limetokea India ambapo tembo alimuua Maya Murmu, mwanamke wa miaka 70 aliyeenda kutafuta maji huko kijijini Raipal, Mashariki mwa India. Tembo huyo alitokea na kumshambulia mama huyo ambaye alifariki akipatiwa matibabu katika hospitali ya Rasgovindpur.

Siku ya mazishi Tembo huyo alitokea na kuikanyaga kanyaga maiti ya mwanamke huyo tena kisha akaondoka na ndugu wakaendelea na mazishi
--
An elephant in eastern India killed a 70-year-old woman and then returned to her funeral to trample her corpse.

The woman, Maya Murmu, was out collecting water in Raipal village, Eastern India when the escaped elephant came out of nowhere and trampled her on Thursday morning. She later died in hospital of her injuries, Rasgovindpur police station inspector Lopamudra Nayak said.

Then that evening the elephant returned as the 70-year-old's body lay on top of her funeral pyre. It took her body down, trampled her again, threw her around and went off into the night. It is not known if anyone else was harmed but the family did go ahead with the ceremony after the elephant left.
Screenshot 2022-06-14 at 14-31-36 Pubity on Instagram “An elephant in eastern India killed a 7...png
 
Hii tabia ya kuabudu wanyama mpaka wanaruhusiwa kufanya ufuska wa namna hyo inakera sana , au ni Mungu wao l? Tembo alitokea wapi msibani?

Mpak anavuka umati wote anaenda kwenye maiti naikanyaga na kuitoboa toboa, watu wamemwangalia tuu alaf anamaliza zake anaondoka wamemwangalia tu. Wote waliokuwa kwenye mazishi ni wapumbavu wa kiwango cha SRG.
 
Hii tabia ya kuabudu wanyama mpwa wanaruhusiwa kufanya ufuska wa namna hyo inaleta sana , au ni Mungu wao l? Tembo alitokea wapi msibani ?? Mpak anavuka umati wote anaenda kwenye maiti naikanyaga na kuitoboa toboa , watu wamemwangalia tuu alaf anamaliza zake anaondoka wamemwangalia tuu.... Wote walioliwa kwenye mazishi ni wapumbavu wa kiwango cha SRG ,
Mabehewa ya mtumba
 
Dunia ina wengi na penye wengi pana mengi... just imagine ni 2nd nchi yenye idadi kubwa sana ya watu na inaongoza kuwa na dini nyingi zaidi

Usikute huyo tembo anatukuzwa barabara
 
Hii tabia ya kuabudu wanyama mpaka wanaruhusiwa kufanya ufuska wa namna hyo inakera sana , au ni Mungu wao l? Tembo alitokea wapi msibani?

Mpak anavuka umati wote anaenda kwenye maiti naikanyaga na kuitoboa toboa , watu wamemwangalia tuu alaf anamaliza zake anaondoka wamemwangalia tuu.... Wote waliokuwa kwenye mazishi ni wapumbavu wa kiwango cha SRG ,
ukifanya lolote huo mji unaeza geuka vumbi
 
Rembo hutunza kumbukumbu kwa muda mrefu, alikuwa analipiza kisasi, yawezekana huyo mwanamke Kuna wakati alimkosea huyo big tembo
 
Hii tabia ya kuabudu wanyama mpaka wanaruhusiwa kufanya ufuska wa namna hyo inakera sana , au ni Mungu wao l? Tembo alitokea wapi msibani?

Mpak anavuka umati wote anaenda kwenye maiti naikanyaga na kuitoboa toboa, watu wamemwangalia tuu alaf anamaliza zake anaondoka wamemwangalia tu. Wote waliokuwa kwenye mazishi ni wapumbavu wa kiwango cha SRG.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] waliogopa laana za mungu Ganesha.
Screenshot_20220615_111116.jpg
 
Ingekuwa Bongo moja kwa moja - imani za kiSangoma
 
Kuna sababu za kiroho kwenye hilo inawezekana huyo mama alimfanyia kitu mubaya huyo tembo zamani ... Tembo huwa hawasahau
 
watu wamemwangalia tuu alaf anamaliza zake anaondoka wamemwangalia tu. Wote waliokuwa kwenye mazishi ni wapumbavu wa kiwango cha SRG.
Nitamani kujua iwapo ungekuwa kweny eneo la tukio ungemfanyaje huyo ndovu
 
Back
Top Bottom