India yamtambua "Tiktoker" Kill Paul

India yamtambua "Tiktoker" Kill Paul

Na siyo Balozi wa India tu nchini, juzi Waziri Mkuu wa India alim-acknowledge kupitia tweet yake.

Ukweli ni kwamba, jamaa kapata fan base kubwa sana. Na ukweli ni kuwa, anajua ku-act.

Kupitia reels zake chache nilizoziona, jamaa anajua sana kuigiza.

Ninachopendezwa naye ni kutokuacha vazi lake la Kimasai. Mashallah!. Mungu aendelee kuwainua.
Hakika amepata bahati na kuonyesha kuwa jasira haachi asili
 
Kwanza kuna waigizaji walishamwita aende India wakaigize nadhani bado kwenda tu, halafu deals za makampuni lazima atapata ukizingatia makampuni mengi ya wahindi watataka wamtumie kua maarufu kuna faida yake na kizuri zaidi mwamba anaongea kiingereza bora kabisa

Tuna mwombea kila la kheri !
 
Back
Top Bottom