Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
- Thread starter
- #41
Hakika amepata bahati na kuonyesha kuwa jasira haachi asiliNa siyo Balozi wa India tu nchini, juzi Waziri Mkuu wa India alim-acknowledge kupitia tweet yake.
Ukweli ni kwamba, jamaa kapata fan base kubwa sana. Na ukweli ni kuwa, anajua ku-act.
Kupitia reels zake chache nilizoziona, jamaa anajua sana kuigiza.
Ninachopendezwa naye ni kutokuacha vazi lake la Kimasai. Mashallah!. Mungu aendelee kuwainua.