Hakika amepata bahati na kuonyesha kuwa jasira haachi asiliNa siyo Balozi wa India tu nchini, juzi Waziri Mkuu wa India alim-acknowledge kupitia tweet yake.
Ukweli ni kwamba, jamaa kapata fan base kubwa sana. Na ukweli ni kuwa, anajua ku-act.
Kupitia reels zake chache nilizoziona, jamaa anajua sana kuigiza.
Ninachopendezwa naye ni kutokuacha vazi lake la Kimasai. Mashallah!. Mungu aendelee kuwainua.
Kusimamia msumari ndiyo nini Mkuu?Ila yule dadaake bhana kasimamia msumari sana
Badala ya akina Steve Nyerere sio?Hongera zake na anaweza akatumika sambamba na hilo kuitangaza nchi na mambo mengine mengi kama balozi wa uhifadhi na etc
Kwanza kuna waigizaji walishamwita aende India wakaigize nadhani bado kwenda tu, halafu deals za makampuni lazima atapata ukizingatia makampuni mengi ya wahindi watataka wamtumie kua maarufu kuna faida yake na kizuri zaidi mwamba anaongea kiingereza bora kabisa