Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
WanaliviziaUna maanisha wameenda usiku wakati jua limelala?😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WanaliviziaUna maanisha wameenda usiku wakati jua limelala?😃
Na wanachi tumekubali.Sasa Kama mtu chama chake kimeshika nchi toka uhuru Hadi Sasa wameshindwa nunua vyombo vya kisasa bandarini akili zao zinawaza kuwapa watu ndo tutapata faida Yani hao wenyewe et wanaona hawawezi ..wanachoweza Ni kujipangia mishahara mizuri
Mnawaza kuuza kadi za vyama na kuiba kuraAfrica ndo tumezubaa.
Wewe unawaza nini boss?Mnawaza kuuza kadi za vyama na kuiba kura
Ulikuwa na umri gani ulipogundua kuwa jua halina ardhi kabisa kama hapa duniani.
We mzee vipi?Una maanisha wameenda usiku wakati jua limelala?[emoji2]
Mkuu, umewaza mbali sana. Ni nani anaendesha bandari za Dubai/UAE??Sasa Kama mtu chama chake kimeshika nchi toka uhuru Hadi Sasa wameshindwa nunua vyombo vya kisasa bandarini akili zao zinawaza kuwapa watu ndo tutapata faida Yani hao wenyewe et wanaona hawawezi ..wanachoweza Ni kujipangia mishahara mizuri
Hii nchi acha tuMkuu, umewaza mbali sana. Ni nani anaendesha bandari za Dubai/UAE??
Bandari mshauza au bado?India imepiga hatua kubwa mno, wanastahili pongezi kuingia kwenye 'field' tuliyozoea kuona Wamagharibi, Wachina na Warusi.
Pongezi kwa India na wanasayansi wake....
Bado zamu ya Africa ipo njiani inashaallah..
Yoda dudus HIMARS T14 Armata Aleyn
kp kipanya44 imhotep
![]()
After the moon, India launches rocket to study the sun
India’s space agency launches rocket to study the sun a little over a week after historic landing on moon’s south pole.www.google.com
🤡Bado zamu ya Africa ipo njiani inashaallah..
Hicho wanachomtafuta mungu watakipata... Jua ni mungu na yeye hachunguzwi
Dah! Hivi wamewasha chombo usiku kweli tufungue mada?Kumbe wana akili, naona wameenda usiku. Sio wajinga!
HahahaDah! Hivi wamewasha chombo usiku kweli tufungue mada?