India: Zaidi ya Watu 300 wapoteza maisha katika ajali ya treni

Law of natural selection and survival of the fittest.
 
Wanaopeleka Watoto India kusoma mungu anawaona.
Ukimgusa binti wa Kihindi utaelewa ninachokuambia ukiwa India.
2. Kipanda train India utaelewa ninachokuambia
3. Ukifika kipindi cha mafuriko India utaelewa ninachokuambia
4. Kihindi pia hakisomeki

Tukionana nitakujuza mengi ya India
 

Zaidi ya watu 280 wamefariki na wengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea mashariki mwa jimbo la Odisha nchini India ikihusisha treni tatu zinazodaiwa kugongana katika ajali hiyo usiku wa kuamkia leo.

Idadi ya waliofariki inatarajiwa kuongezeka huku ikitajwa kuwa ajali mbaya zaidi ya treni kuwahi kutokea katika karne hii.​

 
Hivi hii ya kwetu inayotarajiwa mwezi Julai umeme ukikata wakati iko Ngerengere porini si itapinduka pia? Nina wasiwasi na umeme kufanya kama siku ya mechi kwa mkapa
Hii lzm itokee , rushwa zinaua ufanisi wa kazi
 

Takbirr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…