Indiana waitaka Tanzania ilipe Tsh. Bilioni 277 kabla ya Agost 17, 2023

Indiana waitaka Tanzania ilipe Tsh. Bilioni 277 kabla ya Agost 17, 2023

Sasa hao marekani wanajua nchi yetu ni third world country ,under developed, dormant nation of useless leaders... how come wanatukazia kulipa pesa ndefu kiac hcho aisee c bora hao viongoz wehu waliohusika kutia hasara taifa mipesa yte hyo ndio wangewashikilia haohao mpk waztapike hzo pesa
 
Ndio maana namuamini Lisu kwenye hii mikataba ccm,
Jiwe aliambiwa report ya tume yake,ni "professorial rubbish"
Sasa hv kama namuona Kabudi,jinsi mimacho yake anavyozidi kuitumbua!Samia atazidi kulembua macho yake,
Tutaminywa makende mpaka tushike adabu
 
Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa kulipia kiasi cha Dola za Kimarekani
WATU JAMII YA UPINDE (RAINBOW) WAKISIKIA SEREKALI INAINGIA MATATIZONI HUFURAHI KWELI,HAWA JAMAA BANA SIJUI WAKOJE WAKOJE?WAKO BASED ON NEGATIVITY THE SAME TO UPINDE!
 
kwahiyo hatupokei nyongeza kwenye mishahara yetu? acha utani aisee tusijeingizwa chaka
 
Gulu anajiandaa kuja na Tozo mpya. Mtanyooka mbona.
 
Kabudi na Osolo si bado wapo? Mnasubiri nini?

Tena Kabudi bado anakula posho za ubunge.
... in short chawa hawajawahi kuwa na faida zaidi ya uharibifu. Ogopa mno mtu anayejikomba; mwenye akili hukaa nao mbali.
 
Almaaruf a.k.a Baba wa Mikataba mheshimiwa Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (mbunge)
... matakataka yasiyo na faida kwa taifa zaidi ya matumbo yao! Yalaaniwe duniani na mbinguni.
 
Malipo yote ya kimkataba, wana ccm lazima utawakuta

Kila malipo yakifanywa na serikali, wana ccm nao wamo humo
 
Mkuu Analogia,

Tundu Lisu anahusika nini ni huu Mkataba?
Huwezi kutumia Lugha za Vile kushauri.
Imagine Mtoto Wako badala ya kukushauri yeye anaishia Kukutukana si Wa kulaani Kabisa huyo na uyachie Mapenzi ya Mungu.
Tuambiane Ukweli Rais anasema Wenye Mawazo Wahusishwe kwenye kubotesha Maeneo wanayoona kuna Changamoto za Kimkataba Wewe unaona anachokisema Rais siyo Kizuri. Na Kwenye Matangazo ya Mkutano wao wa tarehe 23/07/2023 ndiko nimegundua kumbe Wamelichukua
Kama Kiki za Kisiasa na hata wanaojiita Mawakili Watetezi kumbe makelele yote ni kutafuta Agenda za Kisiasa.
NB: Rais wa Nchi anatakiwa Kuheshimiwa na Kushauriwa kwa Hekima, Siyo hizo kauli tata zinazotolewa kwa Maslahi ya Chadem.
Misiasa ya Ovyo haijengi nchi, bali inajenga Midomo ni Muhimu kuwa Makini.
 
B 277 sio Pesa ya kutisha watalipa km wanaweza kula posho B 47 kwa siku watashindwa kulipa B 277?
 
Walipeni hao wazungu chao, kuwasainisha mikataba ya hovyo mpaka wenyewe wanatushangaa tulivyo na viongozi mazuzu, halafu anapotokea kiongozi mmoja akawaonesha kwa vitendo sio wote ni mazuzu huyo nitasimama nae daima.
 
Huwezi kutumia Lugha za Vile kushauri.
Imagine Mtoto Wako badala ya kukushauri yeye anaishia Kukutukana si Wa kulaani Kabisa huyo na uyachie Mapenzi ya Mungu.
Tuambiane Ukweli Rais anasema Wenye Mawazo Wahusishwe kwenye kubotesha Maeneo wanayoona kuna Changamoto za Kimkataba Wewe unaona anachokisema Rais siyo Kizuri. Na Kwenye Matangazo ya Mkutano wao wa tarehe 23/07/2023 ndiko nimegundua kumbe Wamelichukua
Kama Kiki za Kisiasa na hata wanaojiita Mawakili Watetezi kumbe makelele yote ni kutafuta Agenda za Kisiasa.
NB: Rais wa Nchi anatakiwa Kuheshimiwa na Kushauriwa kwa Hekima, Siyo hizo kauli tata zinazotolewa kwa Maslahi ya Chadem.
Misiasa ya Ovyo haijengi nchi, bali inajenga Midomo ni Muhimu kuwa Makini.

Mkuu Analogia,

Swali langu labda halikueleweka, na kwa context ya mada hii, Tundu Lisu anahusianaje na hili sakata la mkataba wa Indiana?
Tunatakiwa (Tanzania) tulipe Billioni 277, Mkuu wa Nchi alivunja mkataba wa serikali ambayo yeye alikuwemo, tumepelekwa Mahakama za Kimataifa (maybe) ndani ya mkataba kulikuwa na kipengele cha kupelekana nje ya nchi,
Wapi Mkuu Tundu Lisu anaingia?

Naogopa sana tumejadili upungufu au madhara ya mikataba inayotutesa tunahamisha magoli, kwa njia kama nchi hatupata ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom