Indiana waitaka Tanzania ilipe Tsh. Bilioni 277 kabla ya Agost 17, 2023

Indiana waitaka Tanzania ilipe Tsh. Bilioni 277 kabla ya Agost 17, 2023

Waafrika Ni wajinga na wepesi mno kuibiwa. Yaani nenda hata Mauritius ama sheli sheli sajili kampuni njoo uwekeze bongo Kama mgeni baadaye unawapiga vibaya mno. Na blacks wanashobokeaje nguruwe ngozi wanajipendekezaje kwao na ilhali huko kwao wanadhaurikaje Kama wazembe ,wavivu na wapenda ngono na starehe Hakuna wanachoweza. Wamekalia Mali za kuweza kuzitumia wakatawala dunia Ila wanatupa sie wazungu sie twawapa bunduki na kuhakikisha kuwa wanabakia madarakani basi. Ndio wazungu wanavyotujua weusi. Heshima Ni moja kuwa kwenye ngono tuko vizuri mno
 
Kutoka maktaba :

Majina ya Prof. Abdulkarim Mruma na waziri Sospeter M. Muhongo (mbunge) vigogo wa madini Tanzania yaibuka .....

HALI INAVYOKUWA KATIKA TRIBUNAL huko mahakama za nje

22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 3 - Video 1 - 15 February 2023



Source : ICSID


Kwako wewe Professor Abdulkarim Hamis Mruma kutoka Tanzania unaweza kutuchanganulia appendix / kiambatanisho ili ... Director of legal Services Edwin Simon Igenge .....
 
Tupate picha hali inavyokuwa upande wa serikali wakitetea kuvunja mikataba na vipi jopo la wanasheria na wataalamu wetu kiuwezo wa hoja wapo vipi katiba mahakama za nje kimataifa

MAGUMU WANAYOPITIA MAAFISA WETU HUKO NJE MBELE YA TRIBUNAL

22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 4 - Video 1 - 16 February 2023



Source : ICSID

Kwako Andrew A. Mwangakala mtaalamu wa financial modelling wa wizara ..... afisa mwandamizi wizarani kwa miaka mingi tusaidie maelezo yako kwa kikao cha leo ....haya endelea kutupa picha ..
 
Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa kulipia kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 113.6 umetolewa kwa Serikali ya Tanzania

Barua hii inafuatia Uamuzi uliotolewa hivi karibuni na Kituo cha Kimataifa cha Utatuzi wa Migogoro ya Uwekezaji, kinachohusiana na Benki ya Dunia, ambapo Tanzania iliamuriwa kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Kimarekani milioni 109.5 kwa kosa la kupora ardhi ya Ntaka Hill bila kufuata sheria.

Kampuni ya Indiana Resources Limited (ASX: IDA) ni mwanahisa mkuu mwenye asilimia 62.4 ya umiliki katika Ntaka Nickel Holdings Ltd (NNHL), Nachingwea UK Ltd (NUK), na Nachingwea Nickel Ltd (NNL) zote zikiwa zimeorodheshwa kwenye soko la Uingereza na Tanzania. Indiana ndiye msimamizi wa Shirikisho la Ubia na anawajibika kwa shughuli zinazohusiana na kesi dhidi ya Tanzania.

Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni, Bronwyn Barnes, alitoa maoni akisema, "Baada ya kumalizika kwa mchakato wa usuluhishi, na uamuzi wa pamoja kutoka Mahakama ya Usuluhishi ya ICSID kwamba fidia inastahili kulipwa kwa walalamikaji kutokana na kuporwa kwa mradi wa Ntaka Hill Nickel, sasa tunataka Tanzania itimize wajibu wake chini ya Mkataba wa Uwekezaji kulingana na hadhi yake katika jumuiya ya kimataifa."

Ni matumaini ya kampuni ya Indiana Resources Limited na walalamikaji kwamba Serikali ya Tanzania itatii uamuzi wa Mahakama na kuheshimu wajibu wake kama mwanachama wa jumuiya ya kimataifa. Kufanya hivyo kutaimarisha imani katika uwekezaji na kuleta utulivu katika mazingira ya biashara ya Tanzania.

Hata hivyo, ili kutatua masuala ya kisheria na kibiashara kwa njia ya amani na uwazi, pande zote zinazohusika zinapaswa kushirikiana kikamilifu na kuheshimu maamuzi ya mahakama. Kufanya hivyo kutaimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kuleta utulivu na utulivu katika masoko ya kimataifa, jambo ambalo ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu.


Pia soma Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266
Dikteta mmagufuli alikuwa na uhamuzi wa ovyo kweli kwel,unaighalimu nchi leo
 
Mikataba inatupa tabu sana kimataifa

22 March 2023
Winshear Gold Corp. v. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 2 - Video 1 - 14 February 2023


Source : ICSID
 
Kubanwa huku maprofesa wetu mbele ya Mahakama za Nje Tribunal ICSID kwa shujaa Prof. Abdulkarim Hamis Mruma kuhusu Mikataba je CCM italaani mabeberu na kuitisha maandamano nchi nzima kuhusu kesi za fidia za namna hii ?
22 Mar2023
Winshear Gold Corp. V. United Republic of Tanzania (ICSID Case No. ARB/20/25)Hearing Day 1 - Video 2 - 13 February 2023

Serikali ya CCM itambue hakuna mwekezaji aliye na fedha mfukoni.

Mwekezaji akisha saini huenda kunadi mradi wake kwa wenye pesa mfano ktk mabenki na wabia wengine ili ku mobilise resources yaani kupata rasilimali fedha, watu mfano kutafuta mine engineers, kuhamisha heavy equipments ma caterpillar, excavator, drilling machine n.k tena kwa kukodisha, kutayarisha usafiri wa mavifaa haya mazito n.k, kulipa insurance n.k n.k

Kumbuka Mitambo hii mizito kama kwa mfano inayotumika ktk ujenzi wa SGR reli, bwawa la NHPP Stiegler's Gorge Rufiji na ya mradi huu wa madini unahitaji kulipia pesa ya kishika uchumba mapema maana mitambo hii ni michache duniani na unalazimika kulipia fedha za miezi kibao mbele kabla ya kuruhusiwa kuondoka nayo kwa kuikodisha kwa kipindi maalum in advance

Hivyo ghafla ukimfutia mkataba au leseni wengi walio nyuma ya mwekezaji wanapata hasara ya mali, fedha,watu, wakati, kukosa kipato walichotarajia, hadhi / goodwill ya aliyesuka deal hili na serikali ya Tanzania kushuka kwa kudhaniwa hawakufanya makubaliano yaliyostahili na waswahili hivyo wanaweza kukosa kazi siku za usoni sehemu zingine za dunia n.k

Hakuna namna hasara hizo lazima Tanzania iilipe kwa maamuzi ya kutoona mbali wakati wa kumkubali mwekezaji ukifikiri ana fedha kibao mfukoni zimekaa tu kumbe jamaa hawa wana watu wengi wanaocheza upatu a.k.a chungu cha kibubu kuchangishana fedha wengine wamekopa mpaka kwa jirani mtaa mmoja kwa riba kubwa kwa ajili miradi mikubwa ya uwekezaji wakisubiri kwa hamu mgao wao halali mambo yakilipa walipowekeza.

N.B
Mkataba mbovu wa DP World nao una sifa hizo hizo za wawekezaji na huja na gharama zake kama hizo.
 
JPM amewaachia msala mkubwa maprofesa kina Prof. Abdulkarim Hamis Mruma na maofisa wengine wa serikali wawe wataalamu kama Prof. Sospeter Muhongo, wataalamu wa wengine wa sheria n.k

Ni fundisho pia kwa awamu ya sita ya Rais Samia Hassan kujifunza na kuwa makini katika kuingia mikataba n.k
 
Back
Top Bottom