The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki dunia baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto karibu na kisiwa cha Talise nchini Indonesia leo Julai 20,2025.
Video hii inaonesha baadhi ya Abiria wakiendelea kuruka kutoka kwenye meli inayoungua na kurukia kwenye maji ili kujiokoa huku moto ukizidi kushika kasi na kuiunguza meli.
Tayari timu ya uokoaji ya kitaifa ya Indonesia imeanza jitihada za kuokoa Watu