Watu wengi kupoteza maisha hapo itakuwa uzembe wa mabaharia, at least kuna muda wa kutosha kufanya rescue hapo, Kwa hali inavyoonekana kulikuwa na muda wa kutosha kushusha rescue boats, life rings, life jackets, rafts nk.
Kuna wakati deep sea usiku mmelala halafu janga hilo, yaani ulipo inapaswa kwenda kwenye maji na sio kuanza harakati zingine, mabaharia hapa wanaelewa.
ndani ya mitaa ya Homs-Syria.