Indonesia, nchi ya kiislamu yakubali kuwa na uhusiano na Israel

Kwani si mataifa yote yanayoendeshwa na mihemko ya hiyo dini huwa hayataki uhusiano na Israel.
Sio kwamba hawataki mahusiano, na israel, tatizo israel, anaumwa watu tu ovyo! hata ambao hawana hatia kwanini sasa ushupalie, mahusiano na taifa, linaua binadamu kama kuku?
 
We bwege hio kwan Israel waislam hawapo ?
Nyie wakristo ndio nashangaa mnavoangaika na yasio wahusu
 
Nilijua weusi akina brazaj ndio wanaongoza maana hata waarabu wenyewe wanawatukana sana hawa

Hio ni toleo la kumbukumbu ya taurati au? Leta anaongea yeye sio mnatuwekea bibilia zingine mpya eti mtu kasema wakati hajasema.
 
Halafu kwanini umoja wa mataifa wasipeleke wanajeshi wakulinda amani pale hata NATO. Kwanini wasipeleke, kama walivyofanya kwa libya kwa m.gaddafi hizi nchi za magharibi ni majambazi kabisa na waonevu, haya mataifa, ya magharibi sio kabisa.
 
Wengine wanatangaza vita huku wengine wanarejesha mahusiano.

Dunia ni uwanja wa kupigania maslahi yako tu (fact). Mengine yaliyobaki ni mitazamo tu.
⚡️🇮🇱 Israel is wiping out one of the last Christian villages in Palestine, so Israeli settlers can build a settlement over its ruins.

When will Christians across the world stand up against this Genocide?
 

Attachments

  • IMG_20240817_031347.jpg
    177.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…