Indonesia: Ndege aina ya Boeing 737 jet iliyokuwa na watu 62 yapata ajali na kupotelea ndani ya bahari

Ndege inatakiwa ihudumu kwa muda gani kabla ya kustaafishwa?
 
Sijajua ni miaka mingapi maana kuna ndege zina miaka zaidi ya hiyo.
Wanasema ndege inadumu sana ikifanyiwa proper maintenance.
Ok maana kwenye habari wameandika ina mika 26 as if kama vile ni big issue. Kumbe sio kigezo cha kutokea kwa ajali
 
Ok maana kwenye habari wameandika ina mika 26 as if kama vile ni big issue. Kumbe sio kigezo cha kutokea kwa ajali
It was probably kuepusha watu kufikiri ni Max (japo baadhi bado wanadhani ni Max). Kwa hiyo kwa kutaja umri basi mtu utajua ni 737-500 na sio Max.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…