Eng.Livingstone
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 880
- 227
wewe kama umesoma hotel management ni wewe, industrial eng. Unafanya viwanda vyote uvijuavyo ww, nan kakwambia tz hakuna viwanda? Mtafute dogo wa msing akupe hata atlas ucheki, sio unaropoka 2,
sasa dogo wewe umeuliza kwa madhuni gani kama hutaki kujibiwa na wadau.
NB: halafu acha kuwaiga waimba taarabu CHUO CHA TAIFA ndiyo nini sasa,acha MSOMI udhihirike kuwa msomi na Muimba taarabu aendelee kunyanyua vidole juu usijichanganye.