Industrial eng. Udsm

Industrial eng. Udsm

wewe kama umesoma hotel management ni wewe, industrial eng. Unafanya viwanda vyote uvijuavyo ww, nan kakwambia tz hakuna viwanda? Mtafute dogo wa msing akupe hata atlas ucheki, sio unaropoka 2,

sasa dogo wewe umeuliza kwa madhuni gani kama hutaki kujibiwa na wadau.
NB: halafu acha kuwaiga waimba taarabu CHUO CHA TAIFA ndiyo nini sasa,acha MSOMI udhihirike kuwa msomi na Muimba taarabu aendelee kunyanyua vidole juu usijichanganye.
 
Ww bhana usitake kuleta siasa bongo kuna viwanda gani vya maana zaidi vingi vilivyopo ni 'LOCAL' sema ukinitajia kiwanda hata kimoja ambacho ni' HEAVY ' ntaamin maneno yako.


Let's make it a short and realist dialogue...."twiga cement industry" "shelys industry"
 
Walioenda MIT nao ni cream ya wapi?

sasa dogo wewe umeuliza kwa madhuni gani kama hutaki kujibiwa na wadau.
NB: halafu acha kuwaiga waimba taarabu CHUO CHA TAIFA ndiyo nini sasa,acha MSOMI udhihirike kuwa msomi na Muimba taarabu aendelee kunyanyua vidole juu usijichanganye.

Ww ukisikia neno UDSM unatetemeka et? Utakuwa wa KATA ww
 
Unalia nn ?CHUO CHA TAIFA unakipenda moyon, nje unakipondea
 
Vipo, muombe mdogo wako atlas , Industrial engineer sio lazima afanye kwny HEAVY INDUSTRIES,
 
Hapa nchini tz kuna chuo zaid ya chuo cha taifa? Afrika cha 4 kwny rank ya vyuo 100 bora mkuu,
 
walioenda mit nao ni cream ya wapi?

walioenda mit nao utawaambia nini?

we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww

dogo kwani chuo gani hakipo katika kata hapa tanzania, nini hasa maana ya kata au yawezekana wewe ni mhamiaji haramu nchini kwetu.

unajiongeza
 
Walioenda MIT nao ni cream ya wapi?

Walioenda MIT nao utawaambia nini?

We ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa Teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,T*go ww

Haijui hata hiyo MIT unayoizungumzia mkuu...

NDIO MAANA NIMEKWAMBIA CHUO CHA TAIFA, NA SI WORLD WIDE, KAMA MASSACHUSETTS INSTUTIES TECHNOLOGY(MIT) ,mbona unapanik
 
Ndio maana nimesema CHUO CHA TAIFA, ndio zenu kukipondea UDSM mliokosa vigezo
 
Back
Top Bottom