Eng.Livingstone
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 880
- 227
wewe kama umesoma hotel management ni wewe, industrial eng. Unafanya viwanda vyote uvijuavyo ww, nan kakwambia tz hakuna viwanda? Mtafute dogo wa msing akupe hata atlas ucheki, sio unaropoka 2,
Ww bhana usitake kuleta siasa bongo kuna viwanda gani vya maana zaidi vingi vilivyopo ni 'LOCAL' sema ukinitajia kiwanda hata kimoja ambacho ni' HEAVY ' ntaamin maneno yako.
samahan hivi viwanda ni vya serikali au?Let's make it a short and realist dialogue...."twiga cement industry" "shelys industry"
Walioenda MIT nao ni cream ya wapi?
sasa dogo wewe umeuliza kwa madhuni gani kama hutaki kujibiwa na wadau.
NB: halafu acha kuwaiga waimba taarabu CHUO CHA TAIFA ndiyo nini sasa,acha MSOMI udhihirike kuwa msomi na Muimba taarabu aendelee kunyanyua vidole juu usijichanganye.
Siamin kama serikali haina heavy industry hata kimoja inatisha sana ...sema shukran mkuu kwa taarifa zako kuhusu ilo .vya private
kumbe waimba taarabu wapo wengi humu..Ww ukisikia neno UDSM unatetemeka et? Utakuwa wa KATA ww
Ww ukisikia neno UDSM unatetemeka et? Utakuwa wa KATA ww
Walioenda MIT nao ni cream ya wapi?
Walioenda MIT nao utawaambia nini?
We ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa Teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,T*go ww
Ww ukisikia neno UDSM unatetemeka et? Utakuwa wa KATA ww
walioenda mit nao ni cream ya wapi?
walioenda mit nao utawaambia nini?
we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww
dogo kwani chuo gani hakipo katika kata hapa tanzania, nini hasa maana ya kata au yawezekana wewe ni mhamiaji haramu nchini kwetu.
Walioenda MIT nao utawaweka katika category gani?
Walioenda MIT nao ni cream ya wapi?
Walioenda MIT nao utawaambia nini?
We ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa Teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,T*go ww
Haijui hata hiyo MIT unayoizungumzia mkuu...