Industrial eng. Udsm

poleni kwa mnao soma vyuo vya kata! Kwani mkiona jina udsm huwa linawakumbusha jinsi lilivyo vunja ndoto zenu!
 
Haijui hata hiyo MIT unayoizungumzia mkuu...

Mkuu,dogo kahamia thread nyingine kauliza swali ila hakuweka ule ujinga wake wa CHUO CHA TAIFA lakini wadau waka mwambia dogo ume wrong number.

NB: Vijana kama hawa inabidi tuwafunze vizuri ili wasije wakatuwekea sumu kwenye bidhaa za viwanda vya kikwetu kwetu.
 
Mbona mnakiogopa CHUO CHA TAIFA? Mnakumbuka mbali ?
 
walioenda mit nao ni cream ya wapi?

walioenda mit nao utawaambia nini?

we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww

mdau ukisikia neno chuo cha taifa unatetemeka, unakumbuka kilivyokutema, ni vigezo tu mkuu vilikubana,mimi najua lilikuwa chaguo lako la kwanza
 
Ww ukisikia neno UDSM unatetemeka et? Utakuwa wa KATA ww
Wataka kusema eti alieenda MIT atetemeke akisikia UDSM? Yo dude! Perhaps you are either on medication or obviously you need to see a doc!
 
mkuu hapo umenena.....naungana na wewe kwa hili....
 
achana naye huyo hazimtoshi,kama sio utoto ni ushamba huu unawasumbua...its better aende huko2 chuo cha taifa akaulize. Hawa wanabaka jf kwa akili zao ndogo
 
mm wa ardhi lakini udsm nakipa heshima na wanaokiponda wote najua ni chuki tu za kike..ukipata 1 form6 lazima unaanza kuwaza pale UDSM na MUHAS kwa wale wa PCB wanaotaka udaktari..sema wakishamwagwa na kwenda mavyuo yao ya ajabu ndio wanaleta jazba..hata advance kuna kibaha,ilboru,mzumbe nk na hakuna anaetaka kusoma tosamaganga au songea boys but uwezo wao ndio unawapeleka,lakini vipanga wanajulikana wapo wapi..
 
walioenda mit nao ni cream ya wapi?

walioenda mit nao utawaambia nini?

we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww

ndio hivo yaana mtu anakuwa na jazba, eti kisa udsm kuitwa chuo cha taifa, mtu amesoma kata mwanzo mwisho, basi ana hasira kweli na udsm ikiitwa chuo cha taifa, niliwahi sikia wanaokipondea udsm weng ni vilaza na walikosa nafasi chuo cha taifa, mtu anataka afananishe udsm na teku,
 
Man elimu c kitu kama haiwez kuibadilisha kuwa hela ....ila mm naona kama hyo kitu inamaana sana kama ukichikuwa as digirii ya pili hiv ila kwa shahada ya kwanza bongo hapa cjui....
 
Man elimu c kitu kama haiwez kuibadilisha kuwa hela ....ila mm naona kama hyo kitu inamaana sana kama ukichikuwa as digirii ya pili hiv ila kwa shahada ya kwanza bongo hapa cjui....

This is why we end up having lots of college degrees still exremely very poor....
College degrees are not valued more highly they represent nothing but miscelleneous knowledge...
Knowledge will not attract monet unless it is organised and intelligently directed through practical plans of action....lack of understanding this fact has been a source of confusion to millions of people who falsely believe "knowledge is power"
An educated man is the one who has developed faculties in his mind that he may acquire anything he wants after putting actions on his desired goals...
Karibuni UDSM (CoNAS)

★not an insult nor an offence
 
walioenda mit nao ni cream ya wapi?

walioenda mit nao utawaambia nini?

we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww

man elimu c kitu kama haiwez kuibadilisha kuwa hela ....ila mm naona kama hyo kitu inamaana sana kama ukichikuwa as digirii ya pili hiv ila kwa shahada ya kwanza bongo hapa cjui....
mishe zake nyingi ni ktk viwanda vyote tz,haina limitation, ishu ni kwenda kukaza tu,viwanda vyote bongo vipo kwa ajili yenu
 
Nachangia hoja:Unapoomba kozi fulani kwenda kusoma inabidi ujue umeandaa vipi ramani ya kutokea katika kozi hiyo, ni namna ya wewe unavyojipanga. Usipende kusoma kozi kwa kupumbazwa na jina la kozi hiyo, jina la kozi si kigezo.
 
Kuna wengine hata ramani hawana,ukoo mzima kasoma pekeyake,hana connectiob yoyote.. hapo lazma uchanganywe na jina la cozy,
 
Kuna wengine hata ramani hawana,ukoo mzima kasoma pekeyake,hana connectiob yoyote.. hapo lazma uchanganywe na jina la cozy,

Sio wote ,mm bro kasoma MECHANICAL ENG. na sasa yupo IRUWASA, nimetaka kushea idea mbalimbal, sio nimekurupuka, INDUSTRIAL ENG. Iko poa ktk market kwan unaingia viwanda vyote, Wanaoenda kuisoma MKAKAZE ,viwanda vinawahitaji ,kuanzia SMALL na HEAVY INDUSTRIES ,mim nimeshauriwa nisome IND . ENG
 
Kwanini umefika kote huko???
Ni kwamba umekurupuka ama hujanielewa??
hebu rudi kwenye post yangu then chek nini nimequote,
 
ok, nimekuelewa, ila kuna vipanga wanadhan nimekurupuka kuuliza, mm najua wewe mdau wa UD, unaenda kupiga nin ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…