Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijui hata hiyo MIT unayoizungumzia mkuu...
walioenda mit nao ni cream ya wapi?
walioenda mit nao utawaambia nini?
we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww
mkuu,dogo kahamia thread nyingine kauliza swali ila hakuweka ule ujinga wake wa chuo cha taifa lakini wadau waka mwambia dogo ume wrong number.
Nb: Vijana kama hawa inabidi tuwafunze vizuri ili wasije wakatuwekea sumu kwenye bidhaa za viwanda vya kikwetu kwetu.
Wataka kusema eti alieenda MIT atetemeke akisikia UDSM? Yo dude! Perhaps you are either on medication or obviously you need to see a doc!Ww ukisikia neno UDSM unatetemeka et? Utakuwa wa KATA ww
Mbona mnakiogopa CHUO CHA TAIFA? Mnakumbuka mbali ?
We can't build it by quarrels and arguments,let's make steps towards desirable achievements.....
Dogo,twende tu UDSM tukatafute hiyo degree then tuone how we can modify our knowledge to bringup a positive outcome to the poor tanganyka....acha kudadisi ubora wa fani wakati hata ujuzi hauna...
★not an insult nor an offence
siendelei kubishana na wewe ---- na mse**e wa kuona mbali,wangapi wamesoma vyuo mnavyoviita vya kata na wana maisha mazuri 2 kuliko hao wa udsm,,jina la chuo lisikufanye uwe na bichwa lililojaa funza na cyo ubongo,,,wewe na mleta thread wote vimeo wa kufikiri,,famba wewe
walioenda mit nao ni cream ya wapi?
walioenda mit nao utawaambia nini?
we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww
mkuu,dogo kahamia thread nyingine kauliza swali ila hakuweka ule ujinga wake wa chuo cha taifa lakini wadau waka mwambia dogo ume wrong number.
Nb: Vijana kama hawa inabidi tuwafunze vizuri ili wasije wakatuwekea sumu kwenye bidhaa za viwanda vya kikwetu kwetu.
ndio hivo yaana mtu anakuwa na jazba, eti kisa udsm kuitwa chuo cha taifa, mtu amesoma kata mwanzo mwisho, basi ana hasira kweli na udsm ikiitwa chuo cha taifa, niliwahi sikia wanaokipondea udsm weng ni vilaza na walikosa nafasi chuo cha taifa, mtu anataka afananishe udsm na teku,mm wa ardhi lakini udsm nakipa heshima na wanaokiponda wote najua ni chuki tu za kike..ukipata 1 form6 lazima unaanza kuwaza pale udsm na muhas kwa wale wa pcb wanaotaka udaktari..sema wakishamwagwa na kwenda mavyuo yao ya ajabu ndio wanaleta jazba..hata advance kuna kibaha,ilboru,mzumbe nk na hakuna anaetaka kusoma tosamaganga au songea boys but uwezo wao ndio unawapeleka,lakini vipanga wanajulikana wapo wapi..
Man elimu c kitu kama haiwez kuibadilisha kuwa hela ....ila mm naona kama hyo kitu inamaana sana kama ukichikuwa as digirii ya pili hiv ila kwa shahada ya kwanza bongo hapa cjui....
walioenda mit nao ni cream ya wapi?
walioenda mit nao utawaambia nini?
we ulizaliwa kiangazi tym wa2 wanawaza watapata wapi maji ya ku2mia na ndo maana kichwa chako kimejaa maji,,
usi conclude kwa kusema mi ni wa teku,,hujui ckujui na hujui background yangu hadi hapa mm nlipo xaiv,,,xo kalalwe,,,t*go ww
mkuu,dogo kahamia thread nyingine kauliza swali ila hakuweka ule ujinga wake wa chuo cha taifa lakini wadau waka mwambia dogo ume wrong number.
Nb: Vijana kama hawa inabidi tuwafunze vizuri ili wasije wakatuwekea sumu kwenye bidhaa za viwanda vya kikwetu kwetu.
mm wa ardhi lakini udsm nakipa heshima na wanaokiponda wote najua ni chuki tu za kike..ukipata 1 form6 lazima unaanza kuwaza pale udsm na muhas kwa wale wa pcb wanaotaka udaktari..sema wakishamwagwa na kwenda mavyuo yao ya ajabu ndio wanaleta jazba..hata advance kuna kibaha,ilboru,mzumbe nk na hakuna anaetaka kusoma tosamaganga au songea boys but uwezo wao ndio unawapeleka,lakini vipanga wanajulikana wapo wapi..
mishe zake nyingi ni ktk viwanda vyote tz,haina limitation, ishu ni kwenda kukaza tu,viwanda vyote bongo vipo kwa ajili yenuman elimu c kitu kama haiwez kuibadilisha kuwa hela ....ila mm naona kama hyo kitu inamaana sana kama ukichikuwa as digirii ya pili hiv ila kwa shahada ya kwanza bongo hapa cjui....
Nachangia hoja:Unapoomba kozi fulani kwenda kusoma inabidi ujue umeandaa vipi ramani ya kutokea katika kozi hiyo, ni namna ya wewe unavyojipanga. Usipende kusoma kozi kwa kupumbazwa na jina la kozi hiyo, jina la kozi si kigezo.
Kuna wengine hata ramani hawana,ukoo mzima kasoma pekeyake,hana connectiob yoyote.. hapo lazma uchanganywe na jina la cozy,
Sio wote ,mm bro kasoma MECHANICAL ENG. na sasa yupo IRUWASA, nimetaka kushea idea mbalimbal, sio nimekurupuka, INDUSTRIAL ENG. Iko poa ktk market kwan unaingia viwanda vyote, Wanaoenda kuisoma MKAKAZE ,viwanda vinawahitaji ,kuanzia SMALL na HEAVY INDUSTRIES ,mim nimeshauriwa nisome IND . ENG