GE2025 INEC kugawa magari mapya kwa wagombea Urais ni matumizi mabaya ya fedha

GE2025 INEC kugawa magari mapya kwa wagombea Urais ni matumizi mabaya ya fedha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
4,555
Reaction score
4,758
Wasalaam.
Kwa nchi maskini kama hii yenye umasikini uliokithiri inashangazwa kuona wagombea urais wanapewa magari ya anasa aina hii. Kama mgombea urais hana hata usafiri kupiga kampeni alichokua fomu ya nini? Huyu ikitokea bahati mbaya akashinda urais si anaenda kuwa mwinzi kuliko ccm ya leo.

Haya ni matumizi mabaya ya pesa za umma na niudisadi kama ufisadi mwingine tu. Hii nchi bila ukombozi wa pili kuwakataa ccm kupata maendeleo ni ndoto za mchana.
 
Kinachohitajika ni refa kuwa nyutro, sio kulipia chakula na usafiri timu pinzani kuja mchezoni.
 
wana wa pet peti ili hata wakishindwa waseme uchaguzi ulikuwa huru

maana hawezi unanga uchaguzi ikiwa kala vya tume
 
Wanafanya hivyo kwa makusudi ili kuwatamanisha CHADEMA waliosusia uchaguzi. Hawa nyang'au wanatumia vibaya sana fedha za umma.
 

Attachments

  • 1756282498147.png
    1756282498147.png
    1.4 MB · Views: 37
Elewa neno vyama project !

Uchaguzi upi kwanza ? Wagombea wepi ?

Wewe jua umeshatick !
 
Back
Top Bottom