Wakuu,
Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum...
Wasalaam.
Kwa nchi maskini kama hii yenye umasikini uliokithiri inashangazwa kuona wagombea urais wanapewa magari ya anasa aina hii. Kama mgombea urais hana hata usafiri kupiga kampeni alichokua fomu ya nini? Huyu ikitokea bahati mbaya akashinda urais si anaenda kuwa mwinzi kuliko ccm ya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.