PostGE2025 Kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu hajarudisha gari na mlinzi alivyopewa wakati wa 'Uchaguzi'?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Wagombea wote wa Urais isipokuwa ACT Wazelendo waliokataa, walipewa magari ya kutumia wakati wa kampeni, pamoja na walinzi wa kuwa nao muda wote wa kampeni. Kampeni zikiisha wanatakiwa kurudisha magari hayo pamoja na walinzi waliopewa, ambapo wote wamefanya isipokuwa mmoja, Salum Mwalimu, ambaye amebaki na gari pamoja na mlinzi wake.

Kwanini hajarudisha hilo gari mpaka sasa? Yuko na kitu gani spesho cha kufanya aendelee kutanua na gari hiyo kama vile ni ya baba yake? Au ni hongo waliopewa kwaajili ya kufanya kazi ya kuwavuruga zaidi CHADEMA hatimaye Mbowe arudi na kuwa kufanya chama chao CHAUMMA kuwa chama kikuu cha upizani?

I know, ni upuuzi hata kufikiria:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: Eti baadaya kuona Lissu amekaza kwenye sula ala maridhiano, wanataka kumrudishaMbowe mzigoni, lakini hawawezi kumrudisha CHADEMA sababu itakuwa ni fezea, sasa wafanye nini? Ni kukisambaratisha CHADEMA ili mwamba apate tobo la kurudia.

Anyhu, hiyo ilikuwa ni ka chumvi tu, INEC kwanini mpaka sasa Salum Mwalimu ako na gari na mlinzi ambavyo alitakiwa kukabidhi mara baada ya 'uchaguzi' kuisha? Eti guys Dr. Mwigulu Nchemba
 
Nani anamlipa huyo mlinzi??
 
Bila ushahidi huu ni upuuzi mtupu.

Amandla...
 
GE2025 INEC yawakabidhi magari mapya wagombea Urais 2025, haitakua busara Mgombea wa CCM akipewa gari
 
Mboga mboga

kupitia hii comment yako ya mwaka 2025 na hata kitendo cha kuiita mwana "mbogamboga" basi ni dhahiri wewe huwezi kua mwana mbogamboga
CCM hawataki tumiliki magari ya kisasa, wanataka waendeshe wao na family zao

kama ikiwa wewe ni chadema, je 2020 mwalimu alifaa kua mgombea mwenza? kama hakustahili kwanini chama kiliamua awe mgombea mwenza?
 
kupitia hii comment yako ya mwaka 2025 na hata kitendo cha kuiita mwana "mbogamboga" basi ni dhahiri wewe huwezi kua mwana mbogamboga

kama ikiwa wewe ni chadema, je 2020 mwalimu alifaa kua mgombea mwenza? kama hakustahili kwanini chama kiliamua awe mgombea mwenza?
Taludi baadae
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom