Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Wakuu,
Tume ya CCM, INEC ilikuwa imejitayarisha kurusha tukio la mgombea wa CCM kuchukua fomu ya Urais pamoja na mgombea mwenza wake, lakini wameifuta bana.
Kwanza mlianza kusema Uchafuzi badala ya Uchaguzi mlipotangaza tarehe ya kupiga kura, leo mmefuta live ya tukio mlilokuwa mrushe. Mnazidi kutupa ishara kila siku hata nyinyi mmechoka ushubwada wa CCM🤣🤣🤣
Jinsi ilivyokuwa kabla ya tukio kuanza
Baada ya kuondolewa