Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
chadema watii mamlaka kama wanataka maridhiano mengine
Sasa we ngedere watakuzika wangapi, dogo siasa hailazimishwi hivyo, utakufa kwa sonona we bwege. Hilo lichama lako la vibaraka haiwezi kushinda kamwe sn sn itafutika ktk uso wa hii duniaHawana nafasi hiyo, na huyo Mamluki Mwambegele atadhalilika sana.
Mwambegele hafiki hata nusu ya Heshima aliyokuwa nayo Lewis Makame, Pamoja na heshima ya Makame, lakini aliharibu kijinga sana baada ya kukubali kutumikishwa na ccm.
Makame alipofariki alizikwa na watu watano tu huku mitaa yote ikimkejeli, kwa heshima aliyoijengea kwenye Mahakama ya Tanzania haikuwa ndogo.
Mwambegele asubiri aibu itakayogharimu familia yake milele
View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.
Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.
"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
ninavyo ona safari hii sipigi kula
Hilo tamko la taasisi au watu aina ya Mbwa kichaa , au wamejinyea nyashi zaoView attachment 3308834

Kutii mamlaka haimaanishi uwe mjinga. Zama za kuburuza watu kwenye haki zao zimepita.chadema watii mamlaka kama wanataka maridhiano mengine
Acha kulia liaNO REFORMS, NO ELECTION
No Reform No ELECTIONNo Reforms, No Election
Acha kulia.liaKutii mamlaka haimaanishi uwe mjinga. Zama za kuburuza watu kwenye haki zao zimepita.
Huu ndio ukweliSasa we ngedere watakuzika wangapi, dogo siasa hailazimishwi hivyo, utakufa kwa sonona we bwege. Hilo lichama lako la vibaraka haiwezi kushinda kamwe sn sn itafutika ktk uso wa hii dunia
Acha kulia liatatizo kura zenyewe ccm wanaziiba
lini ccm walishinda kihalali?Acha kulia lia