PreGE2025 INEC: Ni Marufuku Kuhamasisha Watu Wasipige Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.

Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.

"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
Suluhisho la uchafu wa kiuchaguzi Tanzania siyo "marufuku za kijinga" kama hizi, hazisaidii kuondoa tatizo....

Suluhisho ni nyie Tume ya uchaguzi na serikali kutubu makosa na dhambi zenu na kutenda/kufanya yaliyo haki yawapasayo kufanya....

Ni serikali kutengeneza utaratibu wa haraka kwa ajili ya kufanya reforms za kisheria na kikatiba ili tufanye uchaguzi ulio huru, wazi na wa haki...

Suluhu ya haya mambo si kutisha wananchi kwa marufuku za kijinga...
 
Mwaka huu watakuwa peke yao afu wataiba
Kisha mwakani tunazika mtu
 
Kusaini Kanuni bila wagombea, (nominees) nisawa na kununua nepi kwaajili mtoto atakaye zaliwa bila mume ama mke yaani unanunua nguo za mtoto wakati huna mume ama mke
 
View: https://youtu.be/CaCcs3vhnwY?si=h2vz5Z4JEY9vleZt
Hii tume ya CCM inapaswa kupewa elimu...

Inashangaza kuwa, tume ina majaji wasomi tena wanaitwa "majaji wa mahakama ya rufaa" lakini wanakuwa manipulated na wajinga ndani ya CCM na serikali kiasi cha wao kuonekana wajinga na wapumbavu tu

CCM wanatumia unyumbu wa kisiasa kuongoza, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a k.a kujizima data
 
View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.

Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.

"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
Kwa upuuzi uliofanywa 2019, 2020 na 2024 ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura.
 
No reform no election inawataka wananchi wasipoteze muda kufanya matendo yasiyowasaidia.

Hawajasema no reform do not vote.
Wanaweza kusema no reform stay home on election day.
 
NEC kageuka mahakama - kwa mamlaka yapi??? Huku sasa ni kuchanganyikiwa aka kudata.

Si.mnasema CDM ni chama.kidogo sasa heka hekanzote hizi za nini?

Tena mkithubutu kuzuia ndiyo kwanza mtakuwa mnaitangaza vizuri mno NO Reform.
 
View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.

Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.

"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
Yaani wakala asiwe na mawasiliano na Chama chake au mgombea wake??????
Tume haina aibu kutangaza rasmi wizi wa kura🙄🙄🙄🙄🙄
 
Haahaa wangeweka kifungu pia ni marufuku kuiba kura
 
Hii Tume ya ucjaguzi ya safari hii huenda ndiyo tume iliyoundwa na mashetani na watu wendawazimu kiasi ambacho hakijawahi kugokea.

Mungu wetu tunakuomba mkono wako wenye mamlaka uwafikie waovu hawa wa Tume ya uchaguzi Tanzania ambao kila siku wanapanga uovu na wamefikia hatua ya kujivunia ufuasi wao wa yule ibilisi.
 
View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.

Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.

"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
Hakuna tume hapo
 
Back
Top Bottom