The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Suluhisho la uchafu wa kiuchaguzi Tanzania siyo "marufuku za kijinga" kama hizi, hazisaidii kuondoa tatizo....View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.
Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.
"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
CCM wanatumia unyumbu wa kisiasa kuongoza, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza na kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a k.a kujizima data
View: https://youtu.be/CaCcs3vhnwY?si=h2vz5Z4JEY9vleZtHii tume ya CCM inapaswa kupewa elimu...
Inashangaza kuwa, tume ina majaji wasomi tena wanaitwa "majaji wa mahakama ya rufaa" lakini wanakuwa manipulated na wajinga ndani ya CCM na serikali kiasi cha wao kuonekana wajinga na wapumbavu tu
Kwa upuuzi uliofanywa 2019, 2020 na 2024 ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura.View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.
Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.
"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
Upo sahihi 100%.Kwa upuuzi uliofanywa 2019, 2020 na 2024 ni utaahira mkubwa sana kwenda kupiga kura.
Yaani wakala asiwe na mawasiliano na Chama chake au mgombea wake??????View attachment 3308834
Viongozi, mgombea au mtendaji wa Chama cha Siasa, mwanachama na mfuasi wa Chama cha siasa kulingana na Kanuni za maadili ya uchaguzi Mkuu zilizochapishwa hii leo kwenye gazeti la Serikali tayari kutumika, ni marufuku kuhamasisha wanachama au wafuasi kupiga kura zaidi ya mara moja katika uchaguzi mmoja, kununua kadi ya mpigakura. Kukusanya kadi za wapigakura ama kuharibu kura.
Watu hao pia hawaruhusiwi kutoa hongo, zawadi, kununua kura, shukrani au aina yoyote ya malipo ya fedha au vifaa kwa mpigakura au mtendaji wa uchaguzi, kuhamasisha au kuzuia wapigakura wasijitokeze kupiga kura siku ya kupigakura ama kuvamia au kukaa kwa nguvu ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au kujumlishia kura isipokuwa kwa msimamizi wa uchaguzi, msimamizi msaidizi wa uchaguzi, msimamizi wa kituo, wasaidizi wake na mlinzi wa kituo cha kupigia kura ambao wataruhusiwa kutumia simu zao au kifaa kingine cha mawasiliano pale itakapobidi kwa shughuli za uchaguzi tu.
"Simu na vifaa hivyo kwa wakati wote viwe vimeondolewa mlio na viwe kwenye mtetemo" imesema Kanuni ya maadili ya uchaguzi Mkuu 2025.
Haahaa wangeweka kifungu pia ni marufuku kuiba kuraView attachment 3308834

Haahaa sasa mtachakachuaje?Yaani wakala asiwe na mawasiliano na Chama chake au mgombea wake??????
Tume haina aibu kutangaza rasmi wizi wa kuraπππππ
Hakuna tume hapoView attachment 3308834