GE2025 INEC tutamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani saa 72

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.

Ndiyo mkakati huo. Mahesabu yao yako tayari wanasubiri tu kumtangaza na kuapishwa.

Safari hii nina wasiwadi kama ataapishiwa uwanja wa Taifa. Watapeleka Dodoma au Zanzibar.
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.

Mtanzania ambaye mpaka sasa bado hajui nani atatangazwa kuwa mshindi wa Urais, mshindi wa ubunge kwenye jimbo lake na mshindi wa udiwani kwenye kata yake, akatafute msaada wa kitabibu Mirembe Hospital. I can wager any sum of money on the outcome, knowing I won’t lose a penny!
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.

Mockery of democracy
 
Uchaguzi Jumatano 29 October
Matokeo ya Udiwani Jumatano hiyo hiyo
Matokeo ya Ubunge, Alhamisi 30 October
Matokeo ya urais Ijumaa November most
Jumapili November 3 Kuapishwa kwa Rais
Jumanne November 5 Wabunge Dodoma kumchagua Spika, na Naibu Spika, na kuapishwa mpaka Ijumaa
Ijumaa November 8 jina la Waziri Mkuu linatangazwa
Jumamosi November 9 Waziri Mkuu ataapishwa Dodoma

Wiki inayofuata, ni Rais Samia anateua wabunge wa kumsaidia ikiwemo yule mwanae wa Kigoma, kisha anatangaza baraza la mawaziri, Konda Boy mambo ya ndani!.

Maisha Yanaendelea ...

P
 
Ukweli mchungu kaka ila inategemea na upepo, Anaweza akatangazwa ndani ya 48 hrs kisiwani , maandalizi yamefanyika kwa scenario zote, .. Muhimu uwe mbele ya TV yako ukiwa ume tune TBC , social media zitapimzika kidogo.

we are doomed.
 
Kila kituo kitangaze matokeo yake hapo hapo kura zilipopigwa.
Vyombo vya habari vitusaidie kujumlisha kituo Kwa kituo.
Hilo likifanyika mshindi tutamjua ndani ya masaa 6 baada ya upigaji kura. Hayo masaa 72 yote ni ya nini Kama sio uchakachuaji?
 
Hesabu zinafanywa hapo hapo kituoni, baada ya muda wa kupiga kura kuisha, vituo vya kupiga kura vinageuka vituo vya kuhesabu kura na matokeo yanabandikwa ukutani hapo hapo kituoni.

Tallying ya udiwani inafanyika kwenye kata baada ya masanduku kuwasili, Tallying ya Ubunge inafanyika jimboni, na Tallying ya urais inafanyikia mkoani na central Tallying Dodoma ambapo inakuwa live 24/7 kwa Mwenyekiti na M/Mwenyekiti kupokezana kutangaza matokeo ya mkoa kwa mkoa kwa kadri wanavyo yapokea na tivii zote zitakuwa live mubashara.

Matokeo ya jumla wanawaita wale wagombea wote 17 na zile VXR zao, sijui baada ya hapo magari watanyanganywa au ndio zawadi ya kuwa vivuli kumsindikiza mgombea! It's true 24hrs is enough!

Hata aibu huna! saa 72 ni nyingi hata nusu saa tu inatosha kuthibitisha huu upumbavu mliofanya mwaka huu na kutapanya pesa za walipa kodi
20251020_225329.jpg
 
Uchaguzi Jumatano 29 October
Matokeo ya Udiwani Jumatano hiyo hiyo
Matokeo ya Ubunge, Alhamisi 30 October
Matokeo ya urais Ijumaa November most
Jumapili November 3 Kuapishwa kwa Rais
Jumanne November 5 Wabunge Dodoma kumchagua Spika, na Naibu Spika, na kuapishwa mpaka Ijumaa
Ijumaa November 8 jina la Waziri Mkuu linatangazwa
Jumamosi November 9 Waziri Mkuu ataapishwa Dodoma

Wiki inayofuata, ni Rais Samia anateua wabunge wa kumsaidia ikiwemo yule mwanae wa Kigoma, kisha anatangaza baraza la mawaziri, Konda Boy mambo ya ndani!.

Maisha Yanaendelea ...

P
Mzee wangu atakuteua pia?
 
Uchaguzi wenyewe upo? Tume hii ya CCM bana.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.

Hata hayo 72 ni masaa mengi kwa uchaguzi wa mwaka huu ilitakiwa ndani ya saa 10 mnatangaza mshidi,
 
Hesabu zinafanywa hapo hapo kituoni, baada ya muda wa kupiga kura kuisha, vituo vya kupiga kura vinageuka vituo vya kuhesabu kura na matokeo yanabandikwa ukutani hapo hapo kituoni.

Tallying ya udiwani inafanyika kwenye kata baada ya masanduku kuwasili, Tallying ya Ubunge inafanyika jimboni, na Tallying ya urais inafanyikia mkoani na central Tallying Dodoma ambapo inakuwa live 24/7 kwa Mwenyekiti na M/Mwenyekiti kupokezana kutangaza matokeo ya mkoa kwa mkoa kwa kadri wanavyo yapokea na tivii zote zitakuwa live mubashara.

Matokeo ya jumla wanawaita wale wagombea wote 17 na zile VXR zao, sijui baada ya hapo magari watanyanganywa au ndio zawadi ya kuwa vivuli kumsindikiza mgombea! It's true 24hrs is enough!

P
Ni kigezo gani kinachotumika kufanya hiyo tallying ya Uraisi tofauti na Tallying ya udiwani ? Hapo ndipo kwenye kupindua meza. Ingefaa mambo yote yafanyike hapo hapo kwenye kata na nyie waandishi mujiganawe katika kata zote nchini na mulete matokeo yote, mutupe mahesabu, hizi habari za kwenda Dodoma kwa sasa zimechuja
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.

😂😂😂😂🤮 hofu ni kitu kibaya sana
 
Mzee wetu na kaka etu Uongo Raha Sana kumbe ?

Back
Top Bottom