Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Mtanzania ambaye mpaka sasa bado hajui nani atatangazwa kuwa mshindi wa Urais, mshindi wa ubunge kwenye jimbo lake na mshindi wa udiwani kwenye kata yake, akatafute msaada wa kitabibu Mirembe Hospital. I can wager any sum of money on the outcome, knowing I wonโt lose a penny!Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Mockery of democracyTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Uchaguzi Jumatano 29 OctoberTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Ukweli mchungu kaka ila inategemea na upepo, Anaweza akatangazwa ndani ya 48 hrs kisiwani , maandalizi yamefanyika kwa scenario zote, .. Muhimu uwe mbele ya TV yako ukiwa ume tune TBC , social media zitapimzika kidogo.Uchaguzi Jumatano 29 October
Matokeo ya Udiwani Jumatano hiyo hiyo
Matokeo ya Ubunge, Alhamisi 30 October
Matokeo ya urais Ijumaa November most
Jumapili November 3 Kuapishwa kwa Rais
Jumanne November 5 Wabunge Dodoma kumchagua Spika, na Naibu Spika, na kuapishwa mpaka Ijumaa
Ijumaa November 8 jina la Waziri Mkuu linatangazwa
Jumamosi November 9 Waziri Mkuu ataapishwa Dodoma
Wiki inayofuata, ni Rais Samia anateua wabunge wa kumsaidia ikiwemo yule mwanae wa Kigoma, kisha anatangaza baraza la mawaziri, Konda Boy mambo ya ndani!.
Maisha Yanaendelea ...
P
Hesabu zinafanywa hapo hapo kituoni, baada ya muda wa kupiga kura kuisha, vituo vya kupiga kura vinageuka vituo vya kuhesabu kura na matokeo yanabandikwa ukutani hapo hapo kituoni.Kila kituo kitangaze matokeo yake hapo hapo kura zilipopigwa.
Vyombo vya habari vitusaidie kujumlisha kituo Kwa kituo.
Hilo likifanyika mshindi tutamjua ndani ya masaa 6 baada ya upigaji kura. Hayo masaa 72 yote ni ya nini Kama sio uchakachuaji?
Hata aibu huna! saa 72 ni nyingi hata nusu saa tu inatosha kuthibitisha huu upumbavu mliofanya mwaka huu na kutapanya pesa za walipa kodiHesabu zinafanywa hapo hapo kituoni, baada ya muda wa kupiga kura kuisha, vituo vya kupiga kura vinageuka vituo vya kuhesabu kura na matokeo yanabandikwa ukutani hapo hapo kituoni.
Tallying ya udiwani inafanyika kwenye kata baada ya masanduku kuwasili, Tallying ya Ubunge inafanyika jimboni, na Tallying ya urais inafanyikia mkoani na central Tallying Dodoma ambapo inakuwa live 24/7 kwa Mwenyekiti na M/Mwenyekiti kupokezana kutangaza matokeo ya mkoa kwa mkoa kwa kadri wanavyo yapokea na tivii zote zitakuwa live mubashara.
Matokeo ya jumla wanawaita wale wagombea wote 17 na zile VXR zao, sijui baada ya hapo magari watanyanganywa au ndio zawadi ya kuwa vivuli kumsindikiza mgombea! It's true 24hrs is enough!
P
Mzee wangu atakuteua pia?Uchaguzi Jumatano 29 October
Matokeo ya Udiwani Jumatano hiyo hiyo
Matokeo ya Ubunge, Alhamisi 30 October
Matokeo ya urais Ijumaa November most
Jumapili November 3 Kuapishwa kwa Rais
Jumanne November 5 Wabunge Dodoma kumchagua Spika, na Naibu Spika, na kuapishwa mpaka Ijumaa
Ijumaa November 8 jina la Waziri Mkuu linatangazwa
Jumamosi November 9 Waziri Mkuu ataapishwa Dodoma
Wiki inayofuata, ni Rais Samia anateua wabunge wa kumsaidia ikiwemo yule mwanae wa Kigoma, kisha anatangaza baraza la mawaziri, Konda Boy mambo ya ndani!.
Maisha Yanaendelea ...
P
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Hata hayo 72 ni masaa mengi kwa uchaguzi wa mwaka huu ilitakiwa ndani ya saa 10 mnatangaza mshidi,Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Ni kigezo gani kinachotumika kufanya hiyo tallying ya Uraisi tofauti na Tallying ya udiwani ? Hapo ndipo kwenye kupindua meza. Ingefaa mambo yote yafanyike hapo hapo kwenye kata na nyie waandishi mujiganawe katika kata zote nchini na mulete matokeo yote, mutupe mahesabu, hizi habari za kwenda Dodoma kwa sasa zimechujaHesabu zinafanywa hapo hapo kituoni, baada ya muda wa kupiga kura kuisha, vituo vya kupiga kura vinageuka vituo vya kuhesabu kura na matokeo yanabandikwa ukutani hapo hapo kituoni.
Tallying ya udiwani inafanyika kwenye kata baada ya masanduku kuwasili, Tallying ya Ubunge inafanyika jimboni, na Tallying ya urais inafanyikia mkoani na central Tallying Dodoma ambapo inakuwa live 24/7 kwa Mwenyekiti na M/Mwenyekiti kupokezana kutangaza matokeo ya mkoa kwa mkoa kwa kadri wanavyo yapokea na tivii zote zitakuwa live mubashara.
Matokeo ya jumla wanawaita wale wagombea wote 17 na zile VXR zao, sijui baada ya hapo magari watanyanganywa au ndio zawadi ya kuwa vivuli kumsindikiza mgombea! It's true 24hrs is enough!
P
๐๐๐๐๐คฎ hofu ni kitu kibaya sanaTume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imesema itamtangaza mshindi wa kiti cha Urais ndani ya muda usiozidi saa 72, baada ya zoezi la upigaji wa kura kumalizika Oktoba 29 mwaka huu, na washindi wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, wakitarajiwa kutangazwa wakati wowote baada ya kujumlisha idadi ya kura katika maeneo husika.
Uchaguzi Jumatano 29 October