GE2025 INEC yawakabidhi magari mapya wagombea Urais 2025, haitakua busara Mgombea wa CCM akipewa gari

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
 
Kuliko mnitoze Kodi ya ARV kwenye Ki mkweche changu nilichoagiza Beforward kwanini msiachane na ujinga huu!
 
Nasikia gharama ya uchaguzi 2025 ni trillion 1 ,na haya ndio matumizi yake
 
Hata haistui yaan, ni zaidi ya ujuha. Lol
 
Kuliko mnitoze Kodi ya ARV kwenye Ki mkweche changu nilichoagiza Beforward kwanini msiachane na ujinga huu!
yeyote aliye kwenye sanduku la kura kwa kiti cha uraisi ,, anachache ya kua raisi wa nchi hiyo ndani ya miezi miwili --- mambo haya ni ya kawaida.

japo kwenye uhalisia ni habari nyingine
 
Dereva atatoka Tume? Service itafanywa na Tume? Baada ya uchaguzi yataenda wapi?

Amandla...
 
Kazi yao ni kunominate au kununua magari? Hebu nikaisome act inayoianzisha vizuri maana kwenye act ya presidential election hakuna hizo privileges.
 
Isije kuwa hizo gari zimewekwa polonium vya kuwadhuru wapinzani. Maana Inecccm haiaminiki
Unaamimi hizo gari zinatoka tume. Huo ni mradi mkuu hatuna uchaguzi Ccm wanafanya ngonjera tu hizo ni zawadi kwa Chama washirika
 
Kwanini watoe magari kwa wagombea wa vyama? Hiyo siyo sahihi, kinachotakiwa kufanywa, media za serikali zitoe nafasi sawa kwa wagombea....lakini kuwapa magari, hiyo siyo sahihi.
 
Nchi ya ******* sana hii...
Hapo CCM wameamua kuwahonga vibaraka wao kwa mlango wa democracy na uchaguzi wa haki..
Wao waendelee kuitafuna nchi VYEDI
Very true ,hizo ni fedha za CCM ili kina Salum MWALIMU na wenzake wasishindwe kufanya kampeni .Kimataifa nimeielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…