GE2025 INEC yawakabidhi magari mapya wagombea Urais 2025, haitakua busara Mgombea wa CCM akipewa gari

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa Mkuu si ndiyo maana yametolewa magari yenye uwezo hata wa kupita kwenye hizo njia mbovu bila kumwacha mgombea akiwa anaumwa mgongo ili aje kuwaahidi kuwa mkimpatia ridhaa atazitengeneza na kuwajengea vituo vya afya vya kutosha na kuwawezesha wananchi kiuchumi na nyie mmiliki 'Mavieite' yenu mpunguze wivu
 
UPUUZI MTUPU... WAGAWE TU HELKOPTA NDIO WATAELEWEKA KWA HERUFI KUBWA
 
Isije kuwa hizo gari zimewekwa polonium vya kuwadhuru wapinzani. Maana Inecccm haiaminiki
Hao sio wapinzani, ni vyama rafiki shikizi.
Wapinzani hawashiriki uchaguzi mwaka huu.
 
Isije kuwa hizo gari zimewekwa polonium vya kuwadhuru wapinzani. Maana Inecccm haiaminiki
sasa sibora ufie kwenye V8 mkuu, hii connection mbona hatukuambizana mapema,
 
Mkuu Richa, Richer
hili ni jambo jema , unapofanya jambo la haki kwa wote, wote wanapaswa kutendewa haki ile ile, akiwemo mgombea wa CCM, hata kama mgombea huyo tayari analo gari la serikali kwasababu yeye ni Rais wa JMT, pia analo gari la CCM kwasababu yeye ni Mwenyekiti wa CCM, lakini bado anastahili kupewa gari hilo jipya kwasababu wagombea wote 17 wamepewa, kutompa mgombea wa CCM kwasababu tayari ana gari, huko kutakuwa ni kumbagua,
Hivyo mgombea wa CCM kupata gari ni haki yake stahiki tena ni Mungu ndiye anaruhusu mwenye nacho ataongezewa, na asiye nacho, atanyanganywa kile kidogo ulichonacho nacho na kupewa yule mwenye kikubwa GE2025 - Pongezi INEC Kusawazisha Uwanja Tenge kwa Wagombea Urais Kufanania!, Vipi Media Pia Tuwezeshwe Kuwawezesha Watanzania Kufanya Informed Decision au? .
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…