Infact hakuna mwanaume mwaminifu

Infact hakuna mwanaume mwaminifu

Wewe muaminifu kwa mana naona unapenda BMW sijui itakuwa ya aina gani zipo nyingi au kila mwenye kali zaidi ya mwenzie itabidi ushobokee
 
Wanawake vita mnazianzisha wenyewe halafu zikiwashinda mnakimbilia kulia,
 
Nakataa, mi mbona niko very honest,faithful and loving on top of all that huwa naskiliza. Im never judgemental kabisa ila sasa mwanamke unaempa vyote hivyo still anaweza asiridhike akaja kusaliti tu.

Tatizo wanawake mnachokosea ni kufanya choices. Choose a guy who is real toka mwanzo ila ukikomaa na good looks utaipata habari yake. Cha ajabu wenye mapenzi ya kweli huwa mnawakataa kwa mbwembwe zote!
 
Ni mwiko kwa mwanaume wa kweli kuwa na true love kwa mwanamke, hawaaminiki, hawana upendo bali wanapenda pesa tu tena wanapenda vijipesa vidogo tu ya kujikimu siku 2, 3. Hizo vijipesa tutawapa mpunguze makali ya maisha ya cku 2,3 na tutawagonga na kuwaacha, tutapokezana kijiti mpk utakapozeeka bila mume wa maana.
 
[HASHTAG]#Wanaume[/HASHTAG] Wote Ni Waaminifu#
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU

My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]

KATIKA WATU WAJINGA NA WAHARIBIFU NA WASIO NA HEKIMA, WEWE NDIO UNAOONGOZA. KWA HIYO ALIYEANZISHA TAASISI YA NDOA (MUNGU), ALITEGEMEA NINI?? HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUWA MWAMINIFU NA WATU WATAFUTE PESA? KAMA YAMEKUSHINDA WEWE ENDELEA NA UTARATIBU WAKO USIJE KUTUHARIBIA WADOGO ZETU HUMU.
 
Labda wewe ndio sio mwaminifu usiwachanganye wanaume wote kuwa wapo kwenye kapu moja
 
Siku zote naamini ndege wafananao huruka pamoja.....
Kiukweli wangu ni mwa
 
Unanyota ya chipsi mayai..acha uvivu tafuta utampata mwaminifu.. wenye hela watakufanya vibaya
 
Mara nyingi mwanamke akishaumizwa na mapenzi anakimbilia mitandaoni..kwa maneno ya KUVUNJA MIOYO YA WANAWAKE WENGINE...lakini YEYE HUYO HUYO.... akija kumpata mwingine anasahau alichoandika JANA...NA HATA STATUS ya whatsap itabadilishwa...Kama wewe umeshachezewa sana...sababu ya MITAZAMO YKO ya KUPENDA MAGARI NA PESA......usiharibu wenzio...kwani UKISHAMPATA HUYO WA BMW...unapanda nalo KITANDANI?ndy maana MNAGEGEDWA HOVYO sababu ya KUPAPATIKIA MAGARI...na hao wenye PESA hawana mapenzi ya kweli..kwakuwa mnachofata kwake ni PESA SIO MAPENZI....sasa UKIPATA ulichofata unaona WANAUME wabaya..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]my ribs ooh.
 
Back
Top Bottom