Bila shuka
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 596
- 294
Hakuna mwanaume msaliti pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye pesa wamekuwa mali adimu....Kwa huu usawa wa baba koromije hata wenye hela hawajulikaniki walipo
Wacha weAcha uuuwongooo mbona mimi ni mwaminifu.
Sema ndo sipati mwanamke mwaminifu.
Ladies nawashauri chagueni wanaume wenye hela, [HASHTAG]#Infact[/HASHTAG] hakuna mwanaume MWAMINIFU
My dear ni afadhali kutoa machozi ndani ya BMW kuliko juu ya baiskeli
.....[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
Kwa huu usawa wa baba koromije hata wenye hela hawajulikaniki walipo
Kwa sababu ni troublemaker[emoji6]Acha uuuwongooo mbona mimi ni mwaminifu.
Sema ndo sipati mwanamke mwaminifu.
Siku zote naamini ndege wafananao huruka pamoja.....
Kiukweli wangu ni muaminifu...
Sijawahi ona dalili yoyote ya uchepukaji
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87]Yes ni bora kbsa