Infinix naiona mbali miaka michache ijayo

Hivi oppo. Infinix na xiaom budget ta 250000 zinafaa kwa kazi ya you tube na live stream. Kwa video za 20 minutes
 
Kuna vitu vingine unashindwa ata kuweka comments. Infinix ata ukilinganisha na redmi note 10pro bado atawekwa chini .

Kuna moja ninayo hapa infinix hot9 ya 64GB kipnd ilikuwa mpya ilikuwa ni hatar aisee kwenye camera ila kwa sasa imebaki ni ya kuchat na wateja telegram tu maana imepitwa na redmi note 10pro anmbayo nilichukua kwa MTanzania baada ya kutumia.

Kulinganisha Infinix na Google pixel tena pixels6 ni sawa na kulinganisha Tanzania na China au ndio kujifariji kuwa miaka ya 60 tuliwapita china uchumi wakat 1970 walikuja kutujengea RELI YA TAZARA.
Ila kujifariji ni Muhimu sana kwenye maisha.
 
Hapo kwanza kutokana na Bias ya watu dhidi ya jina la INFINIX, hakuna aliyeweza kuona hata sifa moja ya infinix dhidi ya pixel , hata kuona mlingano wa simu hizi. Ushindani upo pale pale hata kama hii ingekuwa tecno vs iPhone. Mimi naona kwanza tatizo hapo ni jina la INFINIX na wala sio sifa kubwa za pixel.

Kama angeweka XIAOMI vs Pixel , basi xiaomi ingepata shavu sana, au ingekuwa Brand kama OPPO basi ingeonekana ni ushindani halisi.
tecno siyo simu ni chombo cha mawasiliano.

Pia Kuna gari halafu kuna usafiri.
 
Kuna vitu vingine unashindwa ata kuweka comments. Infinix ata ukilinganisha na redmi note 10pro bado atawekwa chini .

Kuna moja ninayo hapa infinix hot9 ya 64GB kipnd ilikuwa mpya ilikuwa ni hatar aisee kwenye camera ila kwa sasa imebaki ni ya kuchat na wateja telegram tu maana imepitwa na redmi note 10pro anmbayo nilichukua kwa MTanzania baada ya kutumia.

Kulinganisha Infinix na Google pixel tena pixels6 ni sawa na kulinganisha Tanzania na China au ndio kujifariji kuwa miaka ya 60 tuliwapita china uchumi wakat 1970 walikuja kutujengea RELI YA TAZARA.
Ila kujifariji ni Muhimu sana kwenye maisha.
Sasa wewe unalinganisha vipi infinix Hot 9 na Redmi note 10 pro huo ni uonevu wa wazi wazi zipo infinix kubwa kubwa za kulinganisha na hiyo Redmi note 10 pro sio hiyo Hot 9
 
Back
Top Bottom