infinix smart 5 (x697)

infinix smart 5 (x697)

ndugu yangu nimetoka kubadilisha hiyo hiyo nokia japo s ya toch mana sim mpaka imenizoea sasa nataka kuletewa hio ndio nikisoma mijadala mitandaon naona navurugwa mara ina sapot mara haisapot
Mwambie akuletee simu nzuri, ahachane na hizo Infinix!
 
Mwambie akuletee simu nzuri, ahachane na hizo Infinix!
mimi nilimwambia tu isapot 4g halaf ni zawadi nimeshindwa kumkomali aniletee nyingine asije niona napenda vikubwa wakat budget yake hairuhusu sasa katika kusoma soma mitandaon naona wanasema haisapot japo gsm arena wao wameeka inasapot
 
sio mtaalam sanakwenye mambo haya nifafanulie kwa undani kihus hio wifi s zinauzwa?? bei gan
Hiki ni kifaa ambacho kazi yake ni kutoa huduma ya internet kwenye vifaa kama simu, kompyuta n.k So chenyewe unaunga kifurushi na kuweka data on, then unawasha WiFi kwenye Simu yako kisha kinaconnect. Faida yake kina vifurushi vyenye bei nafuu. Mfano ninayo ya Airtel na bei yake ni 75,000. View attachment 2047040
Screenshot_20211217-085031.jpg
View attachment 2047041
 
Back
Top Bottom