Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
X657 badala ya x697
Nimeicheki kuna website nyingi wana claim haina 4G, Info za gsmarena zitakuwa hazipo sahihi. Nafaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
X657 badala ya x697
Mwambie akuletee simu nzuri, ahachane na hizo Infinix!ndugu yangu nimetoka kubadilisha hiyo hiyo nokia japo s ya toch mana sim mpaka imenizoea sasa nataka kuletewa hio ndio nikisoma mijadala mitandaon naona navurugwa mara ina sapot mara haisapot
mimi nilimwambia tu isapot 4g halaf ni zawadi nimeshindwa kumkomali aniletee nyingine asije niona napenda vikubwa wakat budget yake hairuhusu sasa katika kusoma soma mitandaon naona wanasema haisapot japo gsm arena wao wameeka inasapotMwambie akuletee simu nzuri, ahachane na hizo Infinix!
Ndio zipo Smart 5 za aina mbili, zipo za 3G na za 4G. Nitafute nikuuzie ya 4Ghabari wanajukwaa
naomba kuuliza simu tajwa hapo juu ina support 4g??
[emoji2]eeeh yan nimeomba lift nikalazimishwa kupiga na honi, haya asante shida yangu nijue kama ina sapot au la
Hiki ni kifaa ambacho kazi yake ni kutoa huduma ya internet kwenye vifaa kama simu, kompyuta n.k So chenyewe unaunga kifurushi na kuweka data on, then unawasha WiFi kwenye Simu yako kisha kinaconnect. Faida yake kina vifurushi vyenye bei nafuu. Mfano ninayo ya Airtel na bei yake ni 75,000. View attachment 2047040sio mtaalam sanakwenye mambo haya nifafanulie kwa undani kihus hio wifi s zinauzwa?? bei gan
mimi nilimwambia tu isapot 4g halaf ni zawadi nimeshindwa kumkomali aniletee nyingine asije niona napenda vikubwa wakat budget yake hairuhusu sasa katika kusoma soma mitandaon naona wanasema haisapot japo gsm arena wao wameeka inasapot
Ndio zipo Smart 5 za aina mbili, zipo za 3G na za 4G. Nitafute nikuuzie ya 4G