INFINIX YA 1.5ml hii hapa

INFINIX YA 1.5ml hii hapa

Hii inawezekana vipi wakati unapata Pixel 7 na hela inabaki? Na hiyo discount nayo noma, labda ningewaelewa kama hiyo bei ni feki kisha wanauza kwa 50% discount
 
Infinix wanatuonea wateja wao, mtu aliipenda infinix kwa sababu Samsung na iPhone ni bei, leo hii tunapandishiwa bei hapana kwa kweli, bora kununua Xiaomi, OnePlus, Google pixel 7 kwa hiyo bei
 
Kuna kipindi Phantom ya tecno ilivotoka ilikua bei kuna mwana tukaingia nae dukani yeye akachukua Google pixel.. Leo hii Phantom ipo ndan ukifungua application unakaa unywe chai umalize ndo App ifunguke mwamba wa pixel simu n kama bado mpya na kasi ile ile ya mwanzoni
 
Kuna kipindi Phantom ya tecno ilivotoka ilikua bei kuna mwana tukaingia nae dukani yeye akachukua Google pixel.. Leo hii Phantom ipo ndan ukifungua application unakaa unywe chai umalize ndo App ifunguke mwamba wa pixel simu n kama bado mpya na kasi ile ile ya mwanzoni
Kwa simu za Android hakuna simu ipo faster kuliko Google Pixel
 
Ninunue infinix 1.5 m kama msukuma? Hizo ni simu za washamba
Screenshot_20230424_063358_WhatsApp.jpg
 
Ina Ram ngapi?
Google Pixel 7 Pro ina 12GB RAM
Ila niliposema hakuna simu zipo faster kama Google Pixel sikuwa namaanisha ni best overall, nilikuwa tu najaribu kuexpress kuwa Google Pixel zipo faster
Sababu ya kufanya Google Pixel kuwa faster kuliko nyingine sio RAM pekee.... sababu kuu ni Ile UI yao inayoitwa Pixel UI ambayo ni very close to Stock Android kwa hiyo ni very smooth

Pixel UI ndio best user interface kwenye simu za Android ndio maana watu wengi wanaipenda. Ni clean, smooth na ipo faster

Ila kwa watu wanaopenda features nyingi kama mimi, Pixel UI sio kwa ajili yetu.

Pixel UI ni simple UI, clean, more optimized, free from bloatware na at the same time the fastest and lightest UI, I like it isipokuwa sijapenda kuona ina features chache kuliko One UI na MIUI.
 
Back
Top Bottom