Influencer na rafiki wa Davido afariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa uume

Influencer na rafiki wa Davido afariki wakati akifanyiwa upasuaji wa kuongeza ukubwa wa uume

Undezi wa kuendekeza papuchi zilizo fokolewa na wajuba.
Malaya anakushawishi ukuze dushee ili afurahie show😷😕
Huo ndiyo undezi wa kutilia mfano.
 
wale wanawake wa tall,dark skin&gentleman..mtu wenu huyo...kumbe mnajisifia nao tu kumbe hamna lolote
 
Mambo mengine wanaume tunajitakia wenyewe,hapa ndio utajua saa nyingine rate ya wanaume kufa kuliko wanawake tunajisababishia wenyewe...
 
Back
Top Bottom