"Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

"Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS anayemfadhili.

2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha hamna, Lazima sehemu za Siri ziumizwe.

3. Mtakuja kupasuka Kwa kupenda sifa na maisha ya juu huku hamna uwezo.

NB: Sura imemshuka hadi aibu. Anasingizia u-lesbian.

 
1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kumbe ana babu yake katulia home.

2. Mtakuja kupasuka Kwa kupenda sifa na maisha ya juu huku hamna uwezo.
Huyu ndio influence na ndio ushauri anao utoa, halaf tunajiuliza why maadili yanatetereka, wadada imekuwa ngumu kuoleka. Influence ndio huyu?
 
Namwona fedhea, aibu na maumivu yakibubujikia moyoni. Lakini si ajabu huyu bwana si mzee kiivo ni vile tu bint anamchukulia kama Sponsor ndo maana mnazingatia age lakini kwa tamaduni zetu waAfrika hiyo couple haina tabu kabisa teha zilikuepo nyingi na bado zipo huko vijijini.
 
Back
Top Bottom