Kuna myth ya Waafrika na Asian hasa ambao hawawajui wazungu kiundani kuwa Ukiolewa au ukioa mzungu umeshatoa. Wazungu nao wana sababu za Msingi za kuwasaka Waafrika na Asians.
Waafrika:
Sasa wakiolewa na kuujua ukweli kuhusu wazungu na hasa wakigundua kuwa wazungu wengi ni wabahili, wabaguzi, hawaheshimu utu, hawahongi, wana wivu na selfish wa kupindukia, wengi wa Wahanga hasa wanawake ubadilika kimtazamo. Badala ya kueleza maendeleo waliyopata kutokana na ndoa za Wazungu, uanza kufanya matendo yanayo portray kuwa wana furaha ya ndoa zaidi kulinganisha na walio katika ndoa za Weusi kwa weusi, na kwamba wao wamepata bahati kubwa maishani huku wakiwasifia wanaume wa kizungu na kuwaponda weusi. Lakini ukiwachunguza kwa undani unakuta ni watu wenye stress kubwa ya maisha inayotokana na disappointment inayotakana na matarajio yao kuwa kinyume na hali halisi. Kupata tendo la ndo inakuwa shida, wanabaguliwa sana na marafiki na ndugu wa mzungu, wakitaka msaada hawapati, manyanyaso na kutoruhusiwa kutoka nje bila ruhusa, kulazimishwa group se..ksii, sehemu ya haja kubw kutumika isivyostahili, hawana maendeleo wala uhakika wa kesho na mwisho utishiwa kupewa talaka kila anapodai haki zake. mwisho upewa talaka bila kujali mustakabali wao wa maisha, jambo ambalo huwafanya wawe wanahasiri zisizo na kifani na kila mtu hasa wale wenye maendeleo. Wanawake ambao wamezaliwa Nchi za Magharibi na amabao wamesoma shule za msingi na wazungu huwa hawana shobo na wazungu kwani wanajua changamoto zao.
Matokeo yake always huwa mabaya; Talaka, Mzungu kufao kwa kupigwa tukiooo, na hatimaye Mhusika kuwachukia wazungu kupita maelezo.
Wanaume walioa wazungu huwa simple, wakipata makaratasi tu anamkimbia mzungu na kuoa mwanamke wa ndoto zake, Lakini wanawake inakuwa vigumu kujinasua hasa akiwa amezalishwa. Hii inaitwa siri ya wanawake weusi waliolewa na watu weupe Europe na North Amerika. Ni wanawake wachache sana wametoboa kupitia ndoa za wazungu. Marehemu mama yake na barabaraa ni mfano wa waliotoboa kwa ndoa na mweupe ingawa alikuwa mcolombia, zungu la ung... a. Baada mcombia kutangulia mama akawa don in town.
WANAUME: Moja ya ishara kuwa unahitaji majimama yakitasha ni kufuga rasta. Faida wanayoipata Marasta ni kupata makaratasi kirahisi, kupata hifadhi ya makazi, kuwa na uhakika wa kuvaa na chakula na kusambaza mbegu ya Afrika Ulaya na Amerika. Unakuta Rasta mmoja ana watoto zaidi 15 na talaka zaidi ya 15, ila kila mtoto na mama yake. Hasara ni kupata ngoma na kufundishwa michezo ya zambi.
Wazungu:
WAZUNGU hasa wamama wenye maumbo tata, waliokuwa rejected, na vibabu vya kizungu navyo vina sababu za msingi za kuwataka weusi. Mijimama huwa imekataliwa na wanaume wa kizungu wakati miili yao inahitaji shughuli tena pevu. Inaamini wajamaika ndio wanaimudu kazi ya kurejesha furaha kwa wanawake desperates hasa mijimama. Lakini Wajamaika wapo very selective na hawayataki majimama. Kutokana na hali hiyo option ya pili ni Waafrika ambao nao wanaimudu hiyo shughuli hasa west African men.
Wanaume: Wanaume wa kizungu wakistaafu baada ya 65, hufanya sherehe kuwa wakati wa kula bata umefika. Wengi wao wakiwa katika umri wa kustafu wanakuwa wamepitia talaka kadhaa na hawataki tena uhusiano wa stress. Kumbuka wengi wa wazungu wakistaafu hupata kiinua mgongo cha kati ya USD 3000 hadi 8000 kwa mwezi kutokana na kipato alichokuwa anapata kabla ya kustaafu. Kipato hicho uwawezesha kuishi nchi yoyote Duniani. Wengi wao huwa na ndoto tatu za kutimiza baada ya kustaafu; starehe kwa kwenda mbele; kusafiri; kupata sex slave; kupata mwangalizi wa afya yake ambayo muda huo uwa ya mashaka (Katika umri huo, wazungu wengi usumbuliwa na ngoma, kisukari, pressure na mengineo ya uzeeni). Kupata mwanamke royal, slim, under 23 years old na ambaye upstair hayupo vema (chakalamu) huwa ni solution ya ndoto zao. Zamani mabinti za kiafrika ndio lilikuwa chaguo lao la kwanza lakini baada ya wengi kutangulizwa mbele ya hakiii, siku hizi wanasita sista sana kuchukuwa African hasa west African. Baadaye wakaamia kwa Wahindi lakini walipigwa matukio ya kutapeliwa kiasi kwamba wanawaogopa kwa sasa. Chaguo lao la kwanza kwa sasa ni Philipines girls. Wanawapenda waphilipenes kwa sabubu hawawaui, royal sana, siyo matepeli, wana kipenyo kidogo, hawachepuki, na wanapenda kuwa watumwaaa wa wazunguu kingo....noo. Waphilipine wapo tayari kwa lolote hata kula hajaa kub ya wazungu ili mradi mzung... acheke. Pia wanawapenda wa Thailand, walaini wanajua sana shughuli wasafi, walegevu lakini shida yao siyo waaminifu na hawako tayari kuwa watumwa, wanataka nipe nikupe.
ukiangalia hapo juu faida kubwa wanayopata wadada weusi ni watoto machotara na makaratasi. Wazungu wanapata starehe murua na mtu wa kumlinda na kumsaidia kumaliza maisha uku akiwa na furaha. wazungu wengi ukiacha matajiri na mastar, hawaweki akiba bank kwani mifumo inawapa uhakika wa future na wala hawana nyumba, hivyo akifa hakuna cha kurithi cha Maana.
Kuna Marasta wanaiwakilisha Tz vema kwa wazungu pande za Joberg kwa madiba, Paris mtoni, East London, Readings, East Berlin, Bangkok, Bangalore, Texas, Chicago, Brooklyn n.k. Ushauri wangu muwe mnaweleta watoto kwa ancestors wao Bongo.