"Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

"Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

Mnajua kutunza si unaona mrembo anavyowazimikia🤩

Inategemea Kapeace , Sasa Babu mie saa hizi nafakamia hivi vitu hapo Kuna kutunza mtu kweli Rafiki?

Screenshot_2024-09-08-08-41-17-11_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Napata upepo wa ufukweni karibu tujumuike.

Ila haya mambo ya ndani sana, shida itakua ipo Kwa mwanamke. Inamaana hapo alikua anaonyesha kwa Mme wake kwamba Yuko sawa na anapambana lakini Kwa marafiki zake analalamika Mme wake anamtenga na kamtelekeza.

Ni Wazo ndio wamewapa kitu Cha kusema hao Rafiki zao alafu anataka kuja kulaumu wanawake na kuwarushia lawama Wana Roho mbaya, haiendi hivyo.
Sasa dadiii hii comment sio ya huku ujue, umemeza dawa zako kweli leo😅kweli we ni babu
 
1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake anayemfadhili.

2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha hamna, Lazima sehemu za Siri ziumizwe.

3. Mtakuja kupasuka Kwa kupenda sifa na maisha ya juu huku hamna uwezo.

NB: Sura imemshuka hadi aibu. Anasingizia u-lesbian.

View attachment 3089603
Ila mimi nampendaga huyu dada jamani, anakuwaga na madini flani hiviiiiiiiiii.
Ana akili sana, halafu ni mkweli.
 
Back
Top Bottom