"Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

"Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake anayemfadhili.

2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha hamna, Lazima sehemu za Siri ziumizwe.

3. Mtakuja kupasuka Kwa kupenda sifa na maisha ya juu huku hamna uwezo.

NB: Sura imemshuka hadi aibu. Anasingizia u-lesbian.

View attachment 3089603
Hili li komwe toka siku ya kwanza nilijua ni lidangaji linalotafuta fursa.
 
Back
Top Bottom