Huyu ndio influence na ndio ushauri anao utoa, halaf tunajiuliza why maadili yanatetereka, wadada imekuwa ngumu kuoleka. Influence ndio huyu?1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kumbe ana babu yake katulia home.
2. Mtakuja kupasuka Kwa kupenda sifa na maisha ya juu huku hamna uwezo.
Kwani huyo ni mzungu pori wa russia au bulgariaAliyeaga umaskini ni yupi kati yao?
Eti jamaniπ€£π€£π€£Kwani kuna babu au baba wa mtu kaibiwa huko!!
πWee depression Mpaji Mungu njoo kuna ujumbe wenu.
πππWee depression Mpaji Mungu njoo kuna ujumbe wenu.
Kwani ndio anaitwa nani huyo bintiπππ
Huko Instagram ukifuatilia utapoteana mapema sana!
Anaitwa nani mbona hamsemi, huyo influencer wenuSocial media zinaeeza kukufanya ukawa mwizi