Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
-
- #41
Dunia iliwahi kaliwa na Race ya Annunak ambao walitoka Sayari Ya Nibiru kwa malaki ya miaka hao ndio waliochimba dhahabu kwa 90%Mfano?
unaweza kutoa elimu mana naona machagamhikiwa na hizi terminologiesKhemet,MesoAmerca,Indus Valley, Babylon, Atlantis civilization
Khemet,MesoAmerca,Indus Valley, Babylon, Atlantis civilization
Dunia iliwahi kaliwa na Race ya Annunak ambao walitoka Sayari Ya Nibiru kwa malaki ya miaka hao ndio waliochimba dhahabu kwa 90%
Na iliyobaki ndio hii tuliyobaki nayo leo na wakaipeleka kwao na hao ndio viumbe walioitwa Miungu katika Dunia ya kale,
Kuna mambo makubwa yatakayo kushangaza ukianza fuatilia Haya mambo na ni very complicated kiasi kwamba itakubidi uingie darasani na kutenga muda kuyajua!
Dah..hii.mistari inafirikisha sana
Tutakesha hapa Mama Mwana kuzielezea,unaweza kutoa elimu mana naona machagamhikiwa na hizi terminologies
Ushahidi siwezi kupa hapa kama unautaka itakugharimu Muda na kipato kupata maana kuna kwenda site kabisa kushuhudia ili unavyopewa maelezo ujilidhishe ila kama unautaka miongozo nitakupa hints uanze kufuatilia documentaries mbali mbali za watafiti na wanasayansi pia vitabu mbali mbali na machapisho ya kiutafiti ujue kwa kina mambo HayaUshaidi?
Mkuu kuna uzi wangu nimekutag nenda kaupitie kidogo upate angalau pa kuanziaUshaidi?
ushaidi ni mgumu kuupata na ni gharama na unachukua muda, aya ni majibu ya kubabaisha, nitumie ebu hizo resources na mimi nijisomee, ila kwa maelezo yako ulipaswa mpaka sasa uwe na ushaidi wenye mashiko ndugu.Ushahidi siwezi kupa hapa kama unautaka itakugharimu Muda na kipato kupata maana kuna kwenda site kabisa kushuhudia ili unavyopewa maelezo ujilidhishe ila kama unautaka miongozo nitakupa hints uanze kufuatilia documentaries mbali mbali za watafiti na wanasayansi pia vitabu mbali mbali na machapisho ya kiutafiti ujue kwa kina mambo Haya
Upo tayari?
Asante mkuuMkuu kuna uzi wangu nimekutag nenda kaupitie kidogo upate angalau pa kuanzia
Nilikua naitaji unitajie hayo maendeleo, naona umenitajia Babylon na khemet
Mkuu kama uliwahi soma pahali either kwenye historia au vitabu vya dini na ukasikia Neno Miungu basi elewa hao miungu walikua miungu kweli kama unaijua miungu ya dini za kale na za kipagani kama munguAsante mkuu
Ambao ndio mapepo ya sasa.Mkuu kama uliwahi soma pahali either kwenye historia au vitabu vya dini na ukasikia Neno Miungu basi elewa hao miungu walikua miungu kweli kama unaijua miungu ya dini za kale na za kipagani kama mungu
Ra wa Wamisri
Krishna wa wahindi
Quetzalcoatl wa wamaya
Enlil na Enki wa Wababylon nk nk
Kiufupi hao wote ni miungu waliwahi exist katika Damu na nyama kama mimi na wewe ila sasa hawakua Humanoid kama sisi ni viumbe wenye uwezo mkubwa waliwahi kuwepo hapa Duniani kwa malaki ya miaka ndio wanaobeba historia ya Dunia ya kale yaani ukiona yale ma Pyramids na Matemple na site za kushangaza hao ndio wahusika wakuu waliofanya manuva kiufupi hao miungu ni kitu kimoja au mtu mmoja ndie alifanya maajabu hayo hao kwa pamoja tunawaita
ANNUNAK!
Hapana mapepo ni spirit hayaexist katika mwili,Ambao ndio mapepo ya sasa.
Inabidi ujichetue kidogo kuamini haya mambo ya Annunaki.Mkuu kama uliwahi soma pahali either kwenye historia au vitabu vya dini na ukasikia Neno Miungu basi elewa hao miungu walikua miungu kweli kama unaijua miungu ya dini za kale na za kipagani kama mungu
Ra wa Wamisri
Krishna wa wahindi
Quetzalcoatl wa wamaya
Enlil na Enki wa Wababylon nk nk
Kiufupi hao wote ni miungu waliwahi exist katika Damu na nyama kama mimi na wewe ila sasa hawakua Humanoid kama sisi ni viumbe wenye uwezo mkubwa waliwahi kuwepo hapa Duniani kwa malaki ya miaka ndio wanaobeba historia ya Dunia ya kale yaani ukiona yale ma Pyramids na Matemple na site za kushangaza hao ndio wahusika wakuu waliofanya manuva kiufupi hao miungu ni kitu kimoja au mtu mmoja ndie alifanya maajabu hayo hao kwa pamoja tunawaita
ANNUNAK!
Record walizokeep mbona ndio zinafanya tujue ndio wao Annunak,hizo tablet za mawe na michoro ndio record za kudumu kuliko tulizonazo leo,Inabidi ujichetue kidogo kuamini haya mambo ya Annunaki.
Niliyafatilia ila nikaja kuona ni kama vile watu wa dini kitu kikiwa beyond their capacity of thinking basi hugeukia spirituality issues.
Na nyie mnageukia mambo ya annunaki.
Tatizo tu kuwa huenda watu wa zamani hawakua na njia za kukeep record kama zetu.
Aisee sawa mkuu, ila binafsi siyaamini hayo makituRecord walizokeep mbona ndio zinafanya tujue ndio wao Annunak,hizo tablet za mawe na michoro ndio record za kudumu kuliko tulizonazo leo,
Sisi ikitokea civilization yetu imeanguka baada ya miaka 300 tu kila kitu kitafutika kabisa maana hata hatuna njia ya kudumu ya kuhidhi data zaidi ya internet na makaratasi yanayooza mapema!
Angalia kina Girgamesh waliacha maandishi kwenye tablet za mawe kwa ustadi wa hali ya juu kiasi kwamba leo hata hatuna huo ujuzi!
Kipi huamini hapa angalia hizo painting kwenye Pyramid za Giza, ni kitu real angalia vizuri hizo Symbols na code zinamaana gani kama unajua kuumiza kichwa!Aisee sawa mkuu, ila binafsi siyaamini hayo makitu
Hahahahaha..Mkuu hebu tupe mbili na tatu za huu mchoro ulivyo decode hizi code .nimevutiwa kuelewaKipi huamini hapa angalia hizo painting kwenye Pyramid za Giza, ni kitu real angalia vizuri hizo Symbols na code zinamaana gani kama unajua kuumiza kichwa!
Mkuu hatari sana Haya mambo ngoja kwanza kabla sijakupa maelezo angalia huu kwanza,angalia vizuri uone mwenyewe kama hao walikua ni viumbe wa kawaida!Hahahahaha..Mkuu hebu tupe mbili na tatu za huu mchoro ulivyo decode hizi code .nimevutiwa kuelewa
Mkuu narudia kutazama kwa kuzoom nataka nijue zaidi nijuzeMkuu hatari sana Haya mambo ngoja kwanza kabla sijakupa maelezo angalia huu kwanza,angalia vizuri uone mwenyewe kama hao walikua ni viumbe wa kawaida!
Kiufupi hao Sio binadamu wa kawaida,Mkuu narudia kutazama kwa kuzoom nataka nijue zaidi nijuze