Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

Eeh narudi tena kutazama mchoro
 
Eeh narudi tena kutazama mchoro
Kingine hao walikua magiant sana yaani hapo binadamu kwao ni kama wewe unavyomwangalia nyau 😁

Kiufupi hao miungu walikua ni waajabu sana just imagine huyu ndio Lord Enki na huo ndio tree of life akichota ma power!
 

Attachments

  • ancient-sumerian-stone-carving-with-cuneiform-scripting-F3D826.jpg
    295.7 KB · Views: 20
Ili ayajue inabidi dini yake aiweke pembeni kwanza
 
Yanii cha kabisa nivoona title jiwe mwamba tu nkajua niyeyeeee haaa nafika kusoma content sasa 🤠🤠!



Cc Smart911
Pole kwa kuumizwa kichwa madame hapa tunazungumzia Jiwe Mwamba mgumu The Inga stone og kabisa Mwamba uliochorwa mapicha ya kutisha zama za mawe za kwanza huko yaani kuna waja wanachora mifumo ya Sayari na hawakua na
James Web Telescope hivi madame hao walikua watu kweli au?
Wakati sisi ndio Mwaka juzi tu ndio tunajua na tunapata picha kwa kupeleka vifaa space kwa maroketi kweli kina zinjanthropus walikua na uwezo huo?
😁😁
 
Dah inafikirisha sana hiyo michoro
Hatari na nusu mkuu kuna michoro Mingi tata kama michoro ya astronaut ya wamaya na Aztec yaani hawa jamaa walienda space muda sana!
 

Attachments

  • AN5EOE7LCIRFTVKSG4UQ6RTQBY.jpg
    209.9 KB · Views: 15
  • 2f96fd4ebf80bbcf6473df46aaeee8d7.jpg
    16.5 KB · Views: 16
  • pacal.jpg
    59.3 KB · Views: 16
  • 2e8d1560c994bfcef789d260cf4da03d.jpg
    157.9 KB · Views: 22
  • il_fullxfull.4694373949_piaa.jpg
    187 KB · Views: 21
Unataka kuniambia hii michoro ni toka kipindi hiko cha hao anunaki ?
Hawa Annunak walijenga Matemple mengi sana angalia hii Kailasa temple India huko imechongwa kwenye single rock yaani huu Mwamba ulivyonakshiwa hii tech hapana hawa walitumia mionzi ya laser aisee very high advanced tech!
 

Attachments

  • Aurangabadellora_kailash_temple.jpg
    86.7 KB · Views: 22
  • Ellora-Caves-Kailash-Temple-Right-View.jpg
    390 KB · Views: 19
  • 36098777653_9aae82a26d_b.jpg
    277.4 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…