Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
- Thread starter
-
- #81
Nenda ka google ankor wat,Kailasa temple,Sri lanka temple,Peru temple,cholula na Mesoamerica Pyramids na za Misri pia halafu Rama setup bridge angalia mfano wake japo zipo mabara na nchi tofauti utagundua mjenzi ni mmojaEeh najifunza zaidi hapa
Ukiamua kusoma utajikuta automatically umeingia kwenye uwanda mwingine wa historia ya hii Dunia mkuu utabadilisha mtazamo na namna ya kuona mambo mengi makubwa yatakayo kushangaza kiasi!Nimekua nikisoma sana haya mabandiki unayowekaga ili nipate mwanga japo kdg
Huyo shatani yupo pande zipi hapa mjini daslam?Haya mambo mengine tungekuwa tunamuuliza shetani anatusaidia, yeye si alikuwepo? Tunahangaikia nini sasa? Na jitu lipo limekaa
Nimeanza kushangaa na kuona vitu tofauti, na jaribu kuunga dots na hiki ambacho wengi tunakijua toka ktk dini zetuUkiamua kusoma utajikuta automatically umeingia kwenye uwanda mwingine wa historia ya hii Dunia mkuu utabadilisha mtazamo na namna ya kuona mambo mengi makubwa yatakayo kushangaza kiasi!
Haya ya dasalama labda uyaulize kuhusu Biryan yakheeeee....Huyo shatani yupo pande zipi hapa mjini daslam?
😁😁
Hahahahaha..yeye shetani yuko wapi tukamuulizeHaya mambo mengine tungekuwa tunamuuliza shetani anatusaidia, yeye si alikuwepo? Tunahangaikia nini sasa? Na jitu lipo limekaa
Twende kwa Mwamposa kaka atatusaidia kutuelekeza au kiboko ya wachawi...Hahahahaha..yeye shetani yuko wapi tukamuulize
Dini ina limitations kwa watu wake ukitoka nje ya dini utajikuta upo uwanda wa juu na kufungua code ambazo hakuna mtu wa dini atakaa azijue,Nimeanza kushangaa na kuona vitu tofauti, na jaribu kuunga dots na hiki ambacho wengi tunakijua toka ktk dini zetu
Biryani aligundua maryam yakhe kwani wewe humjui mariamu biryani yule mtoa utamu!Haya ya dasalama labda uyaulize kuhusu Biryan yakheeeee....
Nani aligundua biryan?
Mpishi wa kwanza ni nani?
Na mambo ya kachori kachori hayo na vitumbua
Hiyo spiritual awakening inakuajeDini ina limitations kwa watu wake ukitoka nje ya dini utajikuta upo uwanda wa juu na kufungua code ambazo hakuna mtu wa dini atakaa azijue,
Nisingetoka nje ya dini nisingejua hata ku atach spiritual awakening na kua free mind na nisingeweza kujua mambo mazuri ya kiroho na kimwili
Leo nimekua mtu tofauti yaani a new being,
Natamani kila mtu aanze kuona nacho kiona ila wengi wapo pangoni nawaonea huruma sana sina namna nitashare maarifa hapa hapa siku Moja!
Kwako.Alihitaji ushauri kutoka kwa nani?
Wakristo tunaiita Roho Mtakatifu!Hiyo spiritual awakening inakuaje
Nipe mbinu nainuaje hiyo ?Wakristo tunaiita Roho Mtakatifu!
Na Mimi Niko na nyinyiTuko wote hapa
Achana na biblia kwanza,zile ni habari za middle East..hebu tufikiri nje ya boxKuna viumbe vilikiwepo kabla yetu. Mwanzo 1;1-2 inaonesha kulikuwa na kitu kilitokea before uumbaji wa sasa na ndio maana katika uumbaji wa "Mwanadamu Mungu alihitaji ushauri"
Mmmh..karibu ila we nadhani kule ndio kunawafaa sana..mna content za kutosha kuleNa Mimi Niko na nyinyi
Hahahahaha...Achana na biblia kwanza,zile ni habari za middle East..hebu tufikiri nje ya box
Na unaamini kabisa mzungu Hana vifaa vya kuchonga hiyo miamba kweli??kama anaweza kuchonga vyuma anashindwaje kuchonga miamba?mzungu sio wa kumuamini sana anaweza kuchonga vizuri tu hapo akapuliza na material ya kulifanya jiwe limezeeka halafu akazua taharuki,,,,,maybe ni kweli maybe si kweliPia kingine cha maana angalia hiyo tech ya kuichonga miamba,
Hizo Symbols zimechorwa kwa ustadi sana leo hakuna vifaa vya kuichonga miamba kwa namna ya ajabu hivyo nalo ni Moja ya ajabu!